Naweza kuipata wapi hiyo mashine?Ipo epson l382 yenye sifa zifuatazo
Inacopy, scan, na printi
10ppm (black) na 5ppm (coloured) 《ppm_ page per minute》
Size: A4 (maximum)
Total pages 13000 (black) 6500 (coured) kwa wino wa 100mls
Price: 400000tsh
Karibu sana mkuu
Uko mkoa gani mkuuNaweza kuipata wapi hiyo mashine?
Nipo KigomaUko mkoa gani mkuu
Kama una mtu hapa Dar unaweza kumuagiza au ukatumiwa kupitia mabasi ya mikoani. Karibu sanaNipo kigoma
Sawa mkuu.Kama una mtu hapa dar unaweza kumuagiza, au ukatumiwa kupitia mabasi ya mikoani. Karibu sana
Upo wapi?Wakuuu mimi nauza simu Original za Samsung(Mpya)jumla na Reja reja mwenye kuhitaji tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mawasilianoMkuu nnae mtu ye nimfanya biashara anauza jumla sangara anawasafirisha kwa wateja wake wa dar.hataki mtu mbabaishaji anahitaji mtu mkweli na muaminifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi?Wadau natafuta connection ya kulimisha kwa kutumia trekta. Yaani ni sehemu ipi kulipo na uhaba wa trekta na kuna kilimo kwa wingi. Nataka nipeleke trekta maeneo hayo ili niwe nalima mashamba ya watu kwa kukodisha. Msaada tafadhali
Kuna eneo wanatafuta njemba za kuchimba mitaro kimo cha mtu mzima mita 8 kwa saa 8, kama una mudu huo unyama tusanuane bablai!wakuu mimi sina mtaji mwenye kazi yoyote tu mm nifanye nipate kula....nipo Arusha
Oyaa chali wangu vipi? Kimeeleweka?Wakuu mwenye koneksheni yeyote ya biashara kwa mtaji wa M1 pesa taslim ya kitanzania ..anisaidie niko teyari kwa mkoa wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sato sangara?Mwenye kuhitaji samaki anicheki
Samaki vipi?
Samaki wabichi?Anaye taka connection ya samaki wa mwanza ni pm, mtaji ni kuanzia 50,000 tu. Nakutumia mzigo na watakulipa mno
Samaki ukubwa gani mkuu?Kama hiyo 50k haitajumuisha usafiri sanaki watakuwa zaidi ya pc 55 ila kama na usafiri humo humo samaki wakuwa kuanzia 30 mpaka 42 pcs. Kwahyo n ww tu mkuu na mzigo huwa natuma kila daily
Unapatikana wapi weweNahitaji mzani wa mawe used, kama kuna yeyote anaeuza tafadhali tuwasiliane.
Asante
Bado tuna struggle chali angu.Oyaa chal wangu vipi? Kimeeleweka?
Habari mimi ni mfanya biashara, nipo India kama mtu anahitaji vitu kitu India Kwa bei ya jumla tafadhali anicheck vitu kama vile simu, viatu, nguo, mapazia, mazuria, acid battery charger, uniform kwa ajili ya shule India wana mashati mazuri ukilinganisha na China, mapochi ya wamama, Abaya, buu buu laptops na vingi tu we agiza utapata mie kazi yangu kukuendea sokoni nakununulia unalipia usafiri na ushuru kidogo tu Kwa ajiri yangu +91 97179 98645 hiyo no yangu ya simu unaweza kuweka order kupitia no hiyo whatsp na call karibuni sanaKama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.