Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ipo epson l382 yenye sifa zifuatazo
Inacopy, scan, na printi
10ppm (black) na 5ppm (coloured) 《ppm_ page per minute》
Size: A4 (maximum)
Total pages 13000 (black) 6500 (coured) kwa wino wa 100mls
Price: 400000tsh

Karibu sana mkuu
Naweza kuipata wapi hiyo mashine?
 
Wadau natafuta connection ya kulimisha kwa kutumia trekta. Yaani ni sehemu ipi kulipo na uhaba wa trekta na kuna kilimo kwa wingi. Nataka nipeleke trekta maeneo hayo ili niwe nalima mashamba ya watu kwa kukodisha. Msaada tafadhali
Upo wapi?
 
Kama hiyo 50k haitajumuisha usafiri sanaki watakuwa zaidi ya pc 55 ila kama na usafiri humo humo samaki wakuwa kuanzia 30 mpaka 42 pcs. Kwahyo n ww tu mkuu na mzigo huwa natuma kila daily
Samaki ukubwa gani mkuu?
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Habari mimi ni mfanya biashara, nipo India kama mtu anahitaji vitu kitu India Kwa bei ya jumla tafadhali anicheck vitu kama vile simu, viatu, nguo, mapazia, mazuria, acid battery charger, uniform kwa ajili ya shule India wana mashati mazuri ukilinganisha na China, mapochi ya wamama, Abaya, buu buu laptops na vingi tu we agiza utapata mie kazi yangu kukuendea sokoni nakununulia unalipia usafiri na ushuru kidogo tu Kwa ajiri yangu +91 97179 98645 hiyo no yangu ya simu unaweza kuweka order kupitia no hiyo whatsp na call karibuni sana
 
Back
Top Bottom