Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara







 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Laptop aina ya HP inauzwa Pamoja na Speaker mbili na mouse kwa Laki tatu tu. Inakaa na chaji masaa manne.
Specifications ni kama ifuatavyo
RAM 4GB
HDD 320GB
Processor Core i5
Nicheck PM

 
Mwenye connection au ideas kuhusu upatikanaji wa kahawa kwa bei poa hapa Tanzania tafadhali
 
Wakuu anaehitaji simu iphone 5 kwa 150000/=
iphone 6= 250000 \= used ila zipo in very good condition

Anicheki tufanye biashara
 

Hivi hizi zinatoa maji ya badiri au ni kupandisha maji tu apo ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…