klinbritetz
Senior Member
- Sep 23, 2020
- 160
- 125
Mtaji kwa maana kwenye makabrasha.Boss umesema LTD company ndiyo company yenye mtaji? Je, kuna company sizizo na mtaji?
Unauzaje mkuu?Kwa mwenye kuhitaji dagaa kutoka mwanza. Wanakufikia mpaka dar.
Vipi boss mayai ya kisasa yanapatikana kwako na kwa bei gani? mi ninachukua tray 200 kwa wiki namba yangu 0766345494 nipo charambe mianziniNiko na mayai ya kuku Chotara, trei 500 kwa wiki napatikna dar madale, sh 5500 kwa trei mwenye connection please anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
mlmba n wap uko mzeeNjoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
15000/= chini ya pc 20Bei gani?
Down payment 30% ya kifaa unachotaka kuchukuaNenda EFTA wao wanakopesha mitambo,viwanda,magari ya biashara nk. Hawahitaji hati kwani mtambo,gari au mashine utakayonunua ndiyo hati yenyewe.
Yeah ni kweli lakini pia ni bora kuliko kuchukua mkopo wa pesa bank ili kununua mtambo wa biashara. Usisahau pia unapewa grace period ya siku 60 toka unekabidhiwa chombo chako.Down payment 30% ya kifaa unachotaka kuchukua
Unapatikana wapiYoyote anaehitaji viatu
vya shule jumla na reja reja
Army boots kwa ajili ya kampuni za ulinzi
Official shoes
Viatu vyote ni ngozi na ubora wa hali ya juu
tuwasiliane kwa 0744 002351