Naomba connection ya kusambaza unga wangu wa lishe
Nasambaza kwenye maduka, supermarkets hata kwa watu binafsi.. Nafanya delivery na mkoani natuma
Ni Lishe yenye mchanganyiko wa mahindi lishe, ngano, ufuta, Rozela, Mbegu za maboga na soya.
N. B nafaka zisizikobolewa ndio zilizotumika.
Lishe hii ni kuanzia mtoto wa miezi sita, wagonjwa, wajawazito, wanaonyonyesha, wazee na watu wote kiujumla kwa rika zote.
Bei ni 4000 1kg kwa rejareja
Bei ni 3500 1kg kwa jumla kuanzia 5 pieces
Pia mwenye uhitaji wa soya ya unga kwa ajili ya chai,maziwa n.k
Unga wa mbegu za maboga pia unapatikana kwa bei nafuu kabisa.
KARIBUNI NYOTE