Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habari wandugu

Tunatoa tiba za kisuna zilizo katika sheria, visomo vya Ruqya, zindiko n.k

Pia tunayo yale mafuta mbali mbali kama mafuta ya karafuu, mzaituni ,nyonyo habbat saudaa n.k kwa ajili ya kutibu maradhi mbali mbali. Tunatoa tiba za wakina mama katika mfumo wa uzazi, Wanaume wenye matatizo katika njia ya uzazi, watoto wanaokojoa vitandani, wanaosumbuliwa na majini na mapepo ya aina mbali mbali

Wasiliana nasi kwa simu 0744883353
 
Anaefahamu mnada wa Kidomole, Bagamoyo anielekeze tafadhali.
 
Natafuta wateja wa hiliki kijani kutoka India Kwa wale wanauoza viungo (spices) naomba mnicheki +91 999087397
 
Wanapatikana wapi kwa DSM!?
Nenda EFTA wao wanakopesha mitambo,viwanda,magari ya biashara nk. Hawahitaji hati kwani mtambo,gari au mashine utakayonunua ndiyo hati yenyewe.
 
Kama una Tiles za bei kitonga njoo tuzungumze kwa herufi kubwa, niambie sh ngapi, na upo wapi hapa DAR tuje kufanya biashara nirekebishe ghetto langu
 
Mwenye connection na mfanya biashara anaeuza vifaa vya shule Kwa bei za jumla aje dm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…