Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali kauli itakusaidia.Jamani wadau mimi natamani kuwa mfanyabiashara nina mtaji wa 2m naomba mnishauri nifanye nini niko Dar
Mkuu tunayo. Tunauza 35000 rejareja. Jumla (100pcs na kuendelea) 30000.View attachment 1605092View attachment 1605093
Karibu sana. 0767086446Mkuu nitakucheki
Nenda EFTA wao wanakopesha mitambo,viwanda,magari ya biashara nk. Hawahitaji hati kwani mtambo,gari au mashine utakayonunua ndiyo hati yenyewe.
Wako posta mkuu nadhani pale opposite na post office.wanapatikana wapi kwa dsm!?
Kwema? Kuna mtu nakuunganisha nayeNahitaji connection ya bei ya ballor la nguo za kike au la watoto bei ya jumla.
Mwenye connection na mfanya biashara anaeuza vifaa vya shule Kwa bei za jumla aje dmKama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Nenda kawaone Falcon au Taqwa kwenye ofisi zao Ubungo watakusaidia.Wadau wa connection, Naomba Masada usafiri (bus/truck) ninao weza kutumia kipindi hiki kufikisha parcel yangu Lusaka kutoka Dar es salaam kwa usalama.
Natanguliza shukurani.