Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habari ndugu!
Nauza kuku wa Kienyeji kwa bei ya jumla na reja reja. Bei ya jumla ipo flat kwa kuku wote ambapo ni 16000/= minimum order ni kuku hamsini.
Kwa reja reja bei ni 18000-22000 inategemea na ukubwa wa kuku. Hii ni kwa Dar es Salaam.

Kwa Arusha nauza kuku wa nyama tu.
 
Naomba connection na madereva wa magari ya IT kutoka Dar to Mbeya
 
JE, UNAHITAJI HUDUMA

KUSAJIL KAMPUNI
-Jina la Biashara
-Limited company
-Partnership

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

KUANDAA TENDA

VISA YA KUSAFIRIA

CRB

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKITOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 

NGUO ZA UTURUKI, ORIGINAL
 
Naombeni connection ya wapi wanakobeba sana na kushusha mizigo ya mazao nikawe kuli ili nipate mtaji wa biashara, yani kama ni sokoni ni soko linaloingiza lori kwa siku angalau 4, 5 au viwandani ambacho wanaruhusu makuli wa kujitegemea naombeni connection kwa anaejua hasa mkoa wa Pwani Kibaha au Bagamoyo na Dar es Salaam
 

Ndio ni nguo hazina bei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…