Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naomba connection ya sehemu wanayouza turubai kwa Bei ya jumla.

Turubai za kuanzia mita 4 na kuendelea.
 
Wapi nitapata Laptop Used (ZILIZOTUMIKA NJE) Kwa bei ya Jumla kuanzia Pc 5+ naomba kuelekezwa wanapouzia na mawasiliano pia,

Muuzaji asiwe wa reja reja tafadhali .

Asante
IMG_20200626_021730.jpg
 
Ninauza Kuku aina ya soso being no shilingi 15000 nipo chanika DSM. 0693389482
 
Back
Top Bottom