Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara


mkuu mimi ni mhandisi mitambo naweza kudesign na kutengeneza mashine kutokana na mahitaji yako husika
 
Napenda sana kufanya Biashara ya kununua mpunga kilosa Morogoro, lakini sijui nianzie wapi niishie wapi? Mwenye kujua tafadhali.......
Twende tukanunue kamsamba mbozi huko mkoani songwe mpunga mzuri na soko lake lipo palepale la uhakika Sana! Ukiwa tayari nicheki
 
Nataka kujua nyewle aina za rasta kwa jumla zinapatikana wapi? Najua zinauzwa kariakoo ila na wao huwa wananunulia wapi?
 
Wakuu naomba kujua bei ya dagaa nyama kwa watu muliopo unguja au mafia kilo bei gani.
 
Naomba kufahamu naweza kupata wapi samaki sato na sangala mwanza kwa bei ya jumla anaefahamu anicheki hata PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…