Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu mwenye connection na kampuni za Solar afanye mpango, nataka kuwa wakala wao. Uwezo mkubwa sana wa kupambana na kutafuta wateja vijijini upo. CC: Zola, Mobisol, Sundar nk
 
Naombeni mnisaidie kupata connection wanapouza mashine za kutengeneza lamba lamba za stick kwa Dar es salaam.
Karibu sana tunaziuza ndugu na unapewa waranti ya mwaka mmoja tunapatikana hapa kariakoo mtaa wa masasi na msimbazi karibu sana maelezo zaidi sms/whatsapp 0774150519
 
Habari,mm natafuta mtu ambae anaweza kufungua mashine ya kusaga sembe na mm nikawa kama msimamizi(mfanyakazi )ninaweza kukoboa kusagana na kuweka ktk vifungashio(viloba vya sembe)nina fahamu madalali wengi ambao wanaweza kuleta mahindi

Lkn pia kuna eneo Pele temeke lipo NI jengo japo sio kubwa sana lkn linafaa kuanza linaitaji ukarabati mdogo ,

Mm pia NI fundi mashine ya kukoboa na kusaga naweza kutengeneza,
Lkn pia ninaweza kutengeneza chakula cha kuku wa kisasa kama finisher, statar nk ,(mashine yako hapo mm cna mashine )na kama unaitaji mashine njoo nikupeleke wanapotengeneza 0785332010 0719103409 karibuni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nazitengeneza ndugu karibu sana niletee wadau wanaotaka mashine tutaongea commission yako 0763542515
 
Back
Top Bottom