kahata
Member
- Jan 17, 2021
- 88
- 53
Upo wapiNiliona wengi wanaulizia huko ila labda tu wanaogopa....ila naimani hii biashara nzuri sana maana kuna rafiki angu anafanya hapa iringa ameendelea sana
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo wapiNiliona wengi wanaulizia huko ila labda tu wanaogopa....ila naimani hii biashara nzuri sana maana kuna rafiki angu anafanya hapa iringa ameendelea sana
Njoo inboxNjoo nikuuzie kiwanja kikubwa maeneo ya vikindu.Nauri ni sh400 toka Mbagala rangi 3.
5/5
Vyakula vingi wanatoa huko Tanzania. Nkg moja ni elfu 4 kiganda.kilo moja ya maharage sh ngapi huko uganda? afu naskia uganda kuna uhaba wa vyakula je ni kweli?
Choroko bado unazo?Nahitaji connection ya soko la nafaka maharage dengu na choroko.
Nakuchek WhatsApp Amigo!
Mkuu maharage uko nayo kama uko nayo nichek tuyajenge mkuu, soko mimi ninalo la uhakika mkuu fanya kunichek tuyajenge.Choroko bdo unazo?
Nakuchek whatsapp subir kdgMkuu maharage uko nayo kama uko nayo nichek tuyajenge mkuu.soko mimi ninaro la uwakika mkuu fanya kunichek tuyajenge.
700/=Huko Handeni maziwa mtindi wanauza sh ngap kwa lita?
700/=
Sawa.. naomba namba zako PM700/=
Nitafute kwa biasharaPls wapi nitapata pilipili manga kwa bei nzr, mkoa upi zinapatikana sana
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana
Weka mawasiliano kk, binafsi nahitaji huo mzigoNauza korosho grade 1.bei 15000/= kwa kilo.Dar