Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Napenda sana kufanya biashara ya kununua mpunga Kilosa Morogoro, lakini sijui nianzie wapi niishie wapi? Mwenye kujua tafadhali.......
 
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana

Mkuu bado upo maeneo hayo?? Damian J Ntundagi
 
Nahitaji Asali ambayo haijawa processed kwa Bei ya Jumla.. kama litre 20 hv
Location: Mbeya
 
Back
Top Bottom