Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu mwenye connection na kampuni za Solar afanye mpango, nataka kuwa wakala wao. Uwezo mkubwa sana wa kupambana na kutafuta wateja vijijini upo. CC: Zola, Mobisol, Sundar nk
 
Naombeni mnisaidie kupata connection wanapouza mashine za kutengeneza lamba lamba za stick kwa Dar es salaam.
Karibu sana tunaziuza ndugu na unapewa waranti ya mwaka mmoja tunapatikana hapa kariakoo mtaa wa masasi na msimbazi karibu sana maelezo zaidi sms/whatsapp 0774150519
 
Nami nazitengeneza ndugu karibu sana niletee wadau wanaotaka mashine tutaongea commission yako 0763542515
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…