Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Waungwa nahitaji Connection ya Uwakala wa abishara, kama una biashara au bidhaa yako na unahitaji Wakala (Agent Commision based) mkoa wa Tanga na Wilaya zake. Mimi ni mwajiliwa huku.
Walete wanaohitaji mashine mkuu tuwatengenezee karibu sana pia za kutoka nje tuna mwenzetu anaziuza sms /whatsapp 0774150519
 
Habari JF;

Una Mzigo wa Kutosha na unatakfuta SOKO. Hapa ni UWANJA sahihi kwako.

Nikiwa ninaozoefu wa kutosha ktk harakati hizi; pia nikiamini wadau wengine watajitokeza ktk kusongeza mambo kwa faida ya wadau wote.

Hivyo; una UZA ama unahitaji KUNUNUA mazao; karibu uwanjani kwa connection.

Vema utoe maelezo yakutosha ili biashara ikaenda fasta. Mfano KIASI KILICHOPO/KINATAKIKANA; BEI; MAHALA MZIGO IPO/UNATALIKANA; AINA mfano Mahindi, meupe, ya dodoma. Nk.

Karibuni.
 
Uzi kama huu tayari upo. Kuna connection kibao
 
nahitaji connection mazao ya nafaka kwa kuuza hapa tz au nje ya tz na kuuza matunda pia
 
Haya deal hili hapa
Naziuza kwa buku 3500
Waweza nunua na kuuza KWA 5000 mtaani kwako.
 
Mwenye connections za kununua mihogo pale soko la lushoto anicheki wakuu mihogo kikombe mikubwa na inaiva vizuri.
 
Wakuu wapi kuna uhaba wa mboga za samaki au dagaa ambako naweza kupeleka? Ama dagaa mwanza wasio na mchanga, dagaa nyama hawa ni wa maji chumvi au hata samaki wa kukaanga wawe wa maji baridi au chumvi.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…