Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana
Vipi njia ya usafiri papoje panafikika kiurahisi?
 
Ahsante kwa taarifa mkuu, changamoto ni zipi? Vp bado unaendelea na hii biashara? Nakama umeacha ni kwanini? Kiasi gani kinatosha kuanza hii biashara? Naomba unijibu mkuu kama hutojali.
Ok! Mimi nlikua nawauzia wanachuo wanao ishi magheton na ndio wateja wangu coz wengi tunafamiana na mm pia ni mwanafunzi bado! Kwa sasa nme stop sababau ya ili janga wadau wengi wamerudi makwao!
Changamoto kubwa dagaa ni bidhaa ya msimu sometimes wanapatikana dagaa wakubwa wakubwa tena kwa bei nzuri, muda mwingine wanakua wadogo wadogo na bei zinakua juu.
Inshort bi mkubwa wangu ndio huwa ananiandalia mzigo sababu na yy anadili na hizo kazi anauza samaki + dagaa + furu za kukaanga.
Kwangu mm capital ya 200k inanitosha kabisa na faida inakuwepo nzuri tu japo sijaweza kuwafikia watu wengi kama navyo wish! Ila faida ni nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bless up

Sent from iPhone 6s Plus
 
kama bado hujapata mkuu karibu mufindi bei ni kama ifuatavyo 2×2=500 2×4=2800 2×6=3800 1×8=5000 1×10=7000 hizi ndizo zenye uhitaji sana huko dar,dom,mwanza,maswa,bariadi nk
Na rafiki anafany hii mishe..sasa mimi niliko hiyo 2*2 nilinunua 2000@ ..nikamwambia hakuamini...duh..yaan huko porini 500!!!
 
Niko Mbagala Mbande najihusisha na ufugaji wa kuku wa nyama
Nawauza kwa bei ya 5700 kwa rejareja
5500 jumla
6000 unapata kuku alieandaliwa moja kwa moja wewe unampokea tu na kumpika utakavyo

Ila pia nauza kwa vipande vya kuku kama

vipapatio @500/=

Kidari (chicken brest) @1500/=
kikiwa na kipapatio ila kama
hakina ni 1000/=

Paja @1300/=
Firigisi kg 7000/=

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngoja niige hii biashara mkuu,nipo mbeya huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwa nahitaji Connection ya Uwakala wa abishara, kama una biashara au bidhaa yako na unahitaji Wakala (Agent Commision based) mkoa wa Tanga na Wilaya zake. Mimi ni mwajiliwa huku.

Sijui nimekuelewa au nimekosea ila Mimi nina mzigo wa sanitizers kama tukielewana mkuu tunaweza kufanya biashara,pamoja na barakoa
 
Wapendwa mimi nina mzigo wa sanitizers pamoja na barakoa
Kama Kuna order za maofisini naombeni mnikumbuke
e3d7829a-8712-47a9-9d51-2011f0de3c85.jpg
Adjustments.JPG
 
Kiasi nitakacho kinaweza kuamuliwa na bei uliyonayo mkuu(kama wewe ndiyo vendor). Ningeomba kama unataarifa za bei unipatia ili iniwezeshe kufanya maamuzi sahihi.
Kwa Sasa msimu umekwisha Ila bado mazao yapo na Bei huwa zinategemeana na ubora wa zao na mahari iliyopo,unaweza kuoata kwa 1400 Hadi 2000 kwa kg na hizi za kawaida unaweza kupata hata kwa 700 hadi 1000 kwa kg na hizi sana unaweza kupata kwa pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom