Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Kama unafanya printing service ya stickers na uko Moshi nicheck PM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe tenda ya ku-supply mchele. Nina mchele mzuri kutoka Ruvu
Tsh 1500Kilogram 1 bei gani?
Kwa mahitaji ya mashamba(Kisarawe) na viwanja vya bei nafuu kabisa kwa Dar (Chanika) karibuni.
Natafuta connection ya biashara za nguo za mitumba za watotoKama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Unaitaj kwa baloo au kwa ku point moja moja?upo mkoa gan?Nahitaji connection ya kuuzanguo za mitumba za watoto
Mashamba Kisarawe yanaanza kwa bei gan?Kwa mahitaji ya mashamba(Kisarawe) na viwanja vya bei nafuu kabisa kwa Dar (Chanika) karibuni.
Hukopeshi mkuu mcheleNatafuta tenda ya ku supply mchele kwenye mashule na taasisi zingine mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Nina mpunga wa kutosha kukoboa na ku supply bila kufeli.
10% kwa mleta dili bei ikiwa nzuri hawezi kosa!
Kama ni taasisi haina tatizo. Makubaliano tuHukopeshi mkuu mchele
Nenda buhongwaYa mia tano mia tano ..
Kwa kuanza nataka nianze kawaida tu yan ka location kenye watu wengi alafu nipate tu sehemu ya kuweka jiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwa wazo zuri. Biashara ya nafaka au mazao ya vyakula visivyo haribika haraka ni biashara nzuri na ni mara chache kupata hasara kama utakuwa makini kufatilia masoko mbalimbali nje na ndani ya nchi.Ninapenda nipewe connection ya biashara ya mazao ya chakula baada ya muda muafaka nije niyauze.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauza reja reja au jumla mkuuMimi nauza dagaa wazuri kutoka mwanza anaehitaji anicheki tufanye biashara
Bei iko chini sana ukiweza kufika 2000/ltr tuwasiliane nipo MoshiNatafuta mtu anaeuza maziwa mtindi ya kienyeji kwa bei nzuri angalau shillingi 500-600 kwa lita moja. awe mkoa wowote ule ambao una mabasi ya kuja Dar.
contact 0687886600
Atauzaje kwa Dar?Bei iko chini sana ukiweza kufika 2000/ltr tuwasiliane nipo Moshi