Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mliopo kigoma naomba kujua upatikanaji wa dagaa wa kigoma na migebuka upoje na bei imesimama vipi kwa sasa, pia upatikanaji wa leseni ya kusafirisha dagaa to Dar.
 
Mi naomba kuelekezwa chimbo la kanga au vitenge vile vya kuunga
Nataka nishone mapensi ya watoto nitembeze mtaani
 
mliopo dar es salaam wapiii naweza pata. Hii kwa Bei poaa msaada tafadhalii
jbl_tz_20211014_162217_0.jpg
 
Wakuu na shuka dar na dagaa nyasi kutoka bukoba kama gunia 7 tu...naomba kupata wanunuaji wanaochukua kwa being ya jumla.
Asanteni
 
BIASHARA YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni mmoja wawatu wanaofanya biashara ya library ya movies,hii biashara ukiwa makini inafaida sana kwa siku unaingiza kipato kinzuri tu,changamoto ya biashara,sio kubwa kama biashara nyingine unaweza kuziepuka ..
Kaka tuchanganulie kama ni mchongo wa kueleweka tujichanganye
 
Naombeni connection ya soko la mchele uko Ruvu. Kilo 1300 ukiwa Ruvu. Ukifika Dar 1500
 
Wakuu nahitaji connection ya viatu vya kike kwa bei ya jumla, naomba kujulishwa chimbo lake
 
Je! Unatafta Photographer?

[emoji991] Tunatoa punguzo kwa wafanya biashara tuna shoot bidhaa zako kwa picha quality ili uweze kuuza bidhaa zenye mwonekano halisi na mzuri.
[emoji991]Bila kusahau ofa ya punguzo ya 20% kwa Wedding, Birthday, Sendoff, Portrait na Fashion.
Yuh__studio
we make Marvelous
Check now[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Follow this link to view our catalogue on WhatsApp: Näytä yrityksen Director katalogi WhatsAppissa
 
PATA HUDUMA ZA USAFI MAOFISINI, MAJUMBANI, VIWANDANI, KATIKA APPARTMENT, HOTELINI, KUANDAA GARDENI ZA KISASA, KUPULIZIA DAWA ZA KUFUKUZA WADUDU WARUKAO NA WATAMBAAO(FUMIGATION), PIA TUNAHUDUMA YA KUHAMISHA(SHUTTLE SERVICE).

[emoji338]0782 - 490928

TUNAPATIKANA MWANZA.
KARIBU TUKUHUDUMIE
Logo_Maker_com.ist.logomaker_Sat_Oct_02_23_00_00_GMT_03_00_2021.jpg
 
Back
Top Bottom