rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Mliopo kigoma naomba kujua upatikanaji wa dagaa wa kigoma na migebuka upoje na bei imesimama vipi kwa sasa, pia upatikanaji wa leseni ya kusafirisha dagaa to Dar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bei poa inamana unataka ya kawaida cyo?mliopo dar es salaam wapiii naweza pata. Hii kwa Bei poaa msaada tafadhaliiView attachment 1974201
Namba yako pleaseTani 40
Ziko godown Handeni
Tunauza zote kwa pamoja
Usafiri wako ila bei kwa gunia (Kilo 108) tutakufanyia 35000, ni kwa wiki hii tu.
Njoo unakagua mzigo mwenyewe.
Hakuna udalali, inbox me
Nipange basi Bei yakeKwa bei poa inamana unataka ya kawaida cyo?
35kNipange basi Bei yake
Bro namim nahitaji hiyo connectionMorogoro
mim niko Dar nahitaji kukuUpo wapi
bei ya jumla unauzajeWakuu na shuka dar na dagaa nyasi kutoka bukoba kama gunia 7 tu...naomba kupata wanunuaji wanaochukua kwa being ya jumla.
Asanteni
upo maeneo gani mim msanii wa maigizoMimi naomba connection rahisi ya wasanii, nina shughuri ambazo zinahitaji wasanii kupromote biashara yangu.
Kaka tuchanganulie kama ni mchongo wa kueleweka tujichanganyeBIASHARA YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni mmoja wawatu wanaofanya biashara ya library ya movies,hii biashara ukiwa makini inafaida sana kwa siku unaingiza kipato kinzuri tu,changamoto ya biashara,sio kubwa kama biashara nyingine unaweza kuziepuka ..
Ipo yqngu nauza 200k usedmliopo dar es salaam wapiii naweza pata. Hii kwa Bei poaa msaada tafadhaliiView attachment 1974201