Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa bei ya jumla niko Morogoro (88)
Msaada tafadhali
Idadi ya trei nitakazo chukua itakuwa inabadilika kulingana na odder nitakazo pokea.Trei ngapi na kwa kila trei bei gani unatoa?
Kama nawe ni miongoni mwa waalimu hapo, basi kiswahili fasaha kwaheriTANGAZO KWA UMMA
*SHULE YA SEKONDARI SAKANA YENYE USAJIRI NAMBA S.5278.*NI SHULE YA BWENI NA KUTWA KWA WAVULANA NA WASICHANA.SHULE IPO GOGONI KILUVYA, WILAYA YA UBUNGO , JIJINI DAR ES SALAAM.
SHULE INATANGAZA FULSA KWA YEYOTE ATAKAE LETA MWANAFUNZI MPYA WA KIDATO CHA I,II NA III, KWA KUTOA OFA YA SHILINGI LAKI MOJA (100,000).
SHULE YA SAKANA IKO VIZURI KUTAALUMA NA INA MAZINGIRA RAFIKI YA KUJIFUNZIA.
PIA TUNATOAPUNGUZO KUBWA LA ADA KWA MWANAFUNZI ATAKAE PATA DARAJA ''A" KATIKA USAHILI (INTERVIEW ).
TUNAPOKEA WANAFUNZI KUTOKA MIKOA YOTE TANZANIA.
WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA
0622594247
0688164303
N pmNina uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa bei ya jumla niko Morogoro (88)
Msaada tafadhali
Unanusa chupi za wake za watu?? Mkuu wewe shauri yako😂😂Wake za watu wamesemanhaiwezekai waume zao wanawanunulja chupi alafu mie naondoka nazo. So inabidi niwanunulie mie wazivae alafu ndio wanipe nikae nazo kama ukumbusho.
Napendaga kuzinusa nusa nikuwa chumbani kwangu.
Mzima lakini wewe? Umepotea au ndio ulishapata mume
Jamani hukuona tangazo kule love connect engineer anatafuta mke.Unanusa chupi za wake za watu?? Mkuu wewe shauri yako😂😂
Hata sijapata huyo mume ni majukumu tu kidogo😒
Nduchi kunusa chupi ni uhonjwa wangu hasa zile ambazo tayari mke wa mtu kashailoweshaUnanusa chupi za wake za watu?? Mkuu wewe shauri yako😂😂
Hata sijapata huyo mume ni majukumu tu kidogo😒
😂😂 uliacha kunitag siku hizi ndiyo maana sikuonaJamani hukuona tangazo kule love connect engineer anatafuta mke.
Utamfaa sana, engineer marrys an accountant
Nilisahau bwana usijali nikiona fursa nyingine nakutonya mrembo. Mie nataka kuja kula pilau😂😂 uliacha kunitag siku hizi ndiyo maana sikuona
Haya mshenga 😂😂Nilisahau bwana usijali nikiona fursa nyingine nakutonya mrembo. Mie nataka kuja kula pilau
Usijali tena jamaa nitamwabia akupatie ile mashine unayohitaji uanze kupiga mishe misheHaya mshenga 😂😂
Mshenga uko vizuri😂Usijali tena jamaa nitamwabia akupatie ile mashine unayohitaji uanze kupiga mishe mishe
Usijari mrembo...this is gona happen...mwaka kesho hauishi tutakuwa tumeshakula pilauMshenga uko vizuri😂
Trei gapBado nina uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa bei ya jumla wakuu.
Ninapatikana Morogoro (88)
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.