Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nina uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa bei ya jumla niko Morogoro (88)
Msaada tafadhali
 
TANGAZO KWA UMMA

*SHULE YA SEKONDARI SAKANA YENYE USAJIRI NAMBA S.5278.*NI SHULE YA BWENI NA KUTWA KWA WAVULANA NA WASICHANA.SHULE IPO GOGONI KILUVYA, WILAYA YA UBUNGO , JIJINI DAR ES SALAAM.

SHULE INATANGAZA FULSA KWA YEYOTE ATAKAE LETA MWANAFUNZI MPYA WA KIDATO CHA I,II NA III, KWA KUTOA OFA YA SHILINGI LAKI MOJA (100,000).

SHULE YA SAKANA IKO VIZURI KUTAALUMA NA INA MAZINGIRA RAFIKI YA KUJIFUNZIA.

PIA TUNATOAPUNGUZO KUBWA LA ADA KWA MWANAFUNZI ATAKAE PATA DARAJA ''A" KATIKA USAHILI (INTERVIEW ).

TUNAPOKEA WANAFUNZI KUTOKA MIKOA YOTE TANZANIA.

WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA
0622594247
0688164303
Kama nawe ni miongoni mwa waalimu hapo, basi kiswahili fasaha kwaheri
 
Bado nina uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa bei ya jumla wakuu.
Ninapatikana Morogoro (88)
 
Wake za watu wamesemanhaiwezekai waume zao wanawanunulja chupi alafu mie naondoka nazo. So inabidi niwanunulie mie wazivae alafu ndio wanipe nikae nazo kama ukumbusho.
Napendaga kuzinusa nusa nikuwa chumbani kwangu.

Mzima lakini wewe? Umepotea au ndio ulishapata mume
Unanusa chupi za wake za watu?? Mkuu wewe shauri yako😂😂
Hata sijapata huyo mume ni majukumu tu kidogo😒
 

Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.

Yoyote anaetaka huduma ya Netflix, nakupatia kwa 8,000/- tu mwezi mzma.
 
Back
Top Bottom