Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naomba connection ya kuwa natuma nafaka nje wao wanatuna advance mm nawatumia labda karanga, maharage ,ufuta chichote yani kwa mfano Zambia , Congo ,Burundi,Marekani na ulaya.

Kwa hiyo naomba jinsi ya kuanza mpka mwisho waweza anzia home kana office badae ukafungua ofc ni Kaz nzuri Sana . Tafadhali naomba connection jinsi ya kuanza hiyo kitu asante
 
Machine ya icecream bado ipo, bei ya punguzo 1,800,000/= ni nzuri na ni kubwa mzabzab Financial Freedom na woote mnaohitaji karibuni sana
 

Attachments

  • 20220820_101425.jpg
    20220820_101425.jpg
    454.2 KB · Views: 69
  • 20220820_101417.jpg
    20220820_101417.jpg
    458.4 KB · Views: 70
  • 20220820_101435.jpg
    20220820_101435.jpg
    470.6 KB · Views: 74
  • 20220820_101315.jpg
    20220820_101315.jpg
    399.8 KB · Views: 78
  • 20220820_101353.jpg
    20220820_101353.jpg
    481.1 KB · Views: 58
Naulizia machimbo ya nguo za ndani ( Chupi za kike na boxer za kiume) kwa bei rahisi Kariakoo.....mwenye connection pliiiz aweke hapa kwa faida ya wote,
Natanguliza shukrani![emoji120][emoji120][emoji120]
 
Natafuta location kwa ajili ya kupaka rangi na kusafisha kucha, msaada wadau!
 
Nauza jeans za kiume mpya good quality [emoji108] nauza jumla/rejareja karibuni wadau 0753057000 bei 17000 mkoani pia tunatuma
IMG_20220921_062546_087.jpg
 
IDEAS ZA KUTOKA KIMAISHA KWA MTAJI MDOGO


1.Nunua pikipiki ya Dhamana ukaanza biashara ya Boda boda.
2.Fungua saluni
3.Mradi wa tofali za kuchoma
3.Fuga kuku
4.Somea ujuzi wowote
5.Mradi wa kushona nguo
6.kijiwe cha kuchomelea
7.kijiwe cha milango na madirisha ya aluminum
8.Mgahawa Mdogo
9.Kijjwe cha kahawa
10.Mashine ya kupukuchua mazao mfano mahindi, mpunga, mtama, karanga, nk
11.Mashine ya kukata nyasi, kupalilia
12.Kuuza mbuzi, kuku,
13.Biashara ya mazao.
14.kukodi bus, daladala na kuzisimamia upate cha juu
15.Kutengeneza sabuni, sanitizer, handwash,
16.Kutengeneza unga wa lishe
17.Kilimo cha umwagailiaji water pump, mbegu, madawa
18.Jiko la supu
19.kutengeneza mkaa mbadala
20.Kuuza chips
21.Kukaanga kuku
22.Kutengeneza vitafunio
23.Kuzalisha ethanol
24.kufuga poko mbuzi katoliki
25.Kufungua kilabu cha pombe za kienyeji
26.Kufungua vijiwe vya Kukusanya ubuyu maporini yakitimia magunia unaleta mjini
27.Kuuza juice
28.Kuuza juice ya miwa
29.Kijiwe cha kukaanga samaki jioni
30.Shughuli za upambaji kumbi
31.Kusambaza bidhaa majumbani
32.Kusambaza bidhaa basic needs kwenye maduka ya vijijini yaani unanua mjini unasambaza kwa oda viduka vya vijijini.
33.Kuzunguka minadani kuuza nguo za mitumba, vyombo, nk
34.Kufungua tuition center
35.Kufungua grocery
36.Kuwa wakala wa bidhaa za viwandani
37.kijiwe cha kukusanya taka za plastic, chuma,oil chafu na tairi chakavu.
38.Kufungua genge la kuuza basic home need
39.Kufungua ofisi ya kupiga nguo pasi.
40.Ofisi ya kutengeneza viatu na mabegi
41.Kutengeneza vyombo vya kupikia mfano, majiko, ndoo, sufuria, mifuniko, vikaangio, nk
42.Saluni ya kutengeneza kucha za wanawake
43......Jengea vyumba vitatu wazazi wako nyumba ya Bati upate baraka
44..Nunua shamba
45.Nunua ng'ombe wadogo watano kwa laki na nusu anza ufugaji.
Au nunua mbuzi anza kufuga
46.Fungua kijiwe cha kuonyesha mpira
47.duka la nguo za kupoint classic za mitumba piga pasi tundika kwenye enga
48..Ofisi za baiskeli za kukodi hapo unapata baiskeli nane
49..Duka la spea za pikipiki na baiskeli
50.Duka la dawa na vipodozi
51..ofisi ya kuchaji simu kwa sola vijijini
52..ofisi ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa
53.. Bustani za kuzalisha miche ya miti na matunda
54... Ufugaji nyuki na kuuza asali
55.. Kuzalisha unga wa muhogo
56..Direct sale yaani door to door delivery hapa unakuwa na torori na speaker unapita KILA nyumba unauza bidhaa na kuchukua oda ya nini wanataka Ili kesho uwaletee.
57.Utengenezaji pellets chakula cha mifugo,samaki.
58..unga wa lishe
59..mikeka
60.bidhaa za mianzi.
61.utengenezaji wine,
62.usafi wa majumbani
63.kuuza uji wa ulezi,mchele
64.utengenezaji mbolea za mboji na za maji.
65.utengenezaji wa vigae vya cement na vya udongo.
66.kupanda miti kwa ajili ya nguzo na mirunda
67.utengenezaji wa ndala
68.utengenezaji viatu
69.Upondaji kokoto
70.ufundi simu na radio
71.Utengenezaji mifagio
72.utengenezaji crips za Mihogo,ndizi,viazi,nk
73.Utengenezaji tambi,ubuyu
74.panda mlonge,au nyonyo,au mibono au muarobaini Ili uje uuze mafuta,au utengeneze sabuni.
75.Kutengeneza siagi ya karanga
76.Home delivery hapa ni kupita KILA nyumba na kuchukua oda za mahitaji yao then unaenda kununua unawaletea
77.Utengezaji wa vifungashio vya karatasi
78.utengenezaji mitungi,vyungu,majiko ya udongo
79.Utengenezaji sufuria,vikombe,nk vya aluminum.
KAZI KWAKO
 
Kama una magari…mzigo wa mahindi upo mwingi sana

Selenje (Zambia)-nakonde boda
TUNDUMA-MISUGUSUGU
TUNDUMA-DAR
TUNDUMA-NAMANGA(KENYA)

Unapakia na kuondoka

Njoo nikupe connection 0672673246
 
Tunatoa huduma ya kukusanya madeni sugu kwa makampuni na watu binafsi.

Kampuni inaitwa Nyakisasa Empire.

Karibuni sana wenye uhitaji
Aise kuna mwanamke mmoja namdai laki tatu yangu ananipiga chenga za mwili mnaweza nisaidiaje?
 
Back
Top Bottom