boazmwitira
Member
- Jun 11, 2022
- 47
- 71
Karibu mkuuSafi mnooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuuSafi mnooo
TANGAZO LA KUUZA NYUMBA
NYUMBA INAUZWA IPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAM
NYUMBA ZIPO MBILI KUBWA NA NDOGO (BANDA LA UWANI)
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 3 CHOO CHA NDANI JIKO NA SITING ROAM
NYUMBA NDOGO INA VYUMBA 4 KTK VYUMBA HIVYO , VYUMBA 2 VINA VYOO NDANI KWA NDANI NA VYUMBA VIWILI VYOO VYAKE NI VYA NJE
NYUMBA ZINA UMEME NA MAJI (BOMBA) NA NDANI KWENYE SAKAFU KUNA TIRES LKN PIA KUNA TENK KUBWA LA KUHIFADHIA MAJI
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI JAPO HAKUNA GETI LA KUFUNGUA AU KUFUNGA LKN UKITAKA KUWEKA NI RAHISI , NYUMBA INA SEHEMU KUBWA YENYE UWAZI AMBAPO UNAWEZA WEKA GARI 3 ZENYE UKUBWA MFANO WA NOAH
NYUMBA IPO HATUA CHACHE KUTOKA BARA BARA, NYUMBA IPO KARIBU NA CHUO CHA KIUTA GONGO LA MBOTO AU KARIBU NA MARKAZI YA GONGO LA MBOTO
WAMILIKI WA NYUMBA NI MKE NA MUME NA WOTE WAMERIDHIANA KUUZA NYUMBA NA HAKUNA MGOGORO
MABANDA YA UWANI KUNA WAPANGAJI NA NYUMBA KUBWA INAKALIWA NA FAMILIA
NYUMBA INAUZWA SH MILIONI 90 ZA KITANZANIA NA HAKUNA DALALI HAPO UKIITAJI UNAKWENDA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA NA WAMILIKI KWA MAWASILIANO NICHEKI KWA NAMBA
+225785332010, LKN PIA NAPATIKANA WHATSAPP KWA NAMBA HIZO UKITAAJI PICHA YA NYUMBA
KARIBU SANA
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Namba ya cmHabari ya wakati huu
Kwa mahitaji ya
[emoji419]Suluari za wanawake (trousers)
[emoji419]Official trousers za wanawake (ofisini)
[emoji419]Mabwanga mchelemchele hightwaist
[emoji419]Skin tight
[emoji419]Jinsi
[emoji419]kadeti za kike
[emoji419]jinsi
Usisite kunitafuta kwa namba
0688100527
Wale mnatokaa kuanza biashara ya mtumba utafundishwa bureee
Wale wa kupoint fursa ndio hii utapata kwa bei sawa na bure
Bei zetu ni 3000 - 5000
Tunapatikana mbeziView attachment 2365008
tulioko bunju tunapataje huduma hii asee?Habar Wakuu
Mimi Nashughurika na Uchinjaji wa Nguruwe Natafuta Tenda ya Order ya Nyama ya Nguruwe Kitimoto
Kwenye Majiko kwenye Mabucha na Majumbani Tunauza kwa bei ya Machinjioni kwa Ujumla
1 KG @8,000
FREE DELIVERY
Tunapatikana TEMEKE KEKO BORA Kama Unaelekea Uwanja wa Mkapa
Call 0656080608 OR 0622516506View attachment 2440555View attachment 2440556View attachment 2440558
Nyumba ina vyumba 7 na vyoo 6? [emoji56]Nyumba inauzwa. Ina vyumba Saba na vyoo sita,Ina eneo la sqm 600,Ina mabanda ya kufugia kuku pia.
Nyumba ipo Tabata Segerea,bei ni milioni mia na hamsini(150000000) maongezi pia yapo.
Kwa maelezo zaidi piga/what's app namba 0678028472.
Karibuni sana.View attachment 2460467View attachment 2460469View attachment 2460472View attachment 2460473
Ni nyumba ya kupangisha mkuu,Nyumba ina vyumba 7 na vyoo 6? [emoji56]
Hostel au?
OkNi nyumba ya kupangisha mkuu,
Ndio maana nimesema maongezi yapo kwa anayehitaji mkuuHapo inabidi sifuri ipungue moja kwenye bei
Nicheki no hii 0786426284Mimi nahitaji producer, Nicheki PM mkuu
Nashida na pikpk used mkuu asie kuw namakuu aniuzie bei za January
Hlx 150 tvc ndio chaguo la kwanza
Uko wapi, bajeti yako ni gani andika kila kitu ueleweke.
Nko kimara bajet 700,000/- ela ya January