Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Agent enterprises Tunakupa unachotaka kwa muda unaohitaji
Huduma zetu :-
Kutafuta soko la bidhaa/huduma zako
Kukutafutia wapangaji ,nyumba ,frem
Ushauri wa ndoa na uhusiano
Uandishi wa riwaya, makala na mashairi
Tupo kwa ajili yako
Usikubali mzigo uoze
Tunapatikana Moshi mjini
Whatsapp 0744883353
0718569091
 
Agent enterprises Tunakupa unachotaka kwa muda unaohitaji
Huduma zetu :-
Kutafuta soko la bidhaa/huduma zako
Kukutafutia wapangaji ,nyumba ,frem
Ushauri wa ndoa na uhusiano
Uandishi wa riwaya, makala na mashairi
Tupo kwa ajili yako
Usikubali mzigo uoze
Tunapatikana Moshi mjini
Whatsapp 0744883353
0718569091
Habari boss...

Mnaweza nitafutia wateja wa nyama ya mbuzi? 1KG Tsh.12,000 na naweza supply ata KG100 kwa siku
 
Nauza mashudu ya alizeti mwenye uhitaji na mashudu ya alizeti kuanzia gunia 100 anicheki. Napatikana singida
 
Naomba connection ya baloo za mtumba, lebo inayotoa nguo nzuri za watoto, baby light rummage, namba moja ya Canada au UK. Ninapochukuaga wanazingua sana sometimes. Kwa Dar pekee.View attachment 2524101
Mkuu njoo Godown kwetu, mzigo uko wa kutosha. Njoo na wenzio tunapatikana Kipawa opposite na Airport.
Cheki: 0773411415
 
Nahitaji kuku na bata wa kienyeji,nifuge nyumbani kwangu ,mwenye nao na nikipata hata bukini ntashukuru
 
Natufuta Investor (Partner) ambaye atawekeza Milioni 5 kwenye Kampuni (Inatoa Engineering services). Maswali, terms & conditions za malipo ni makubaliano

Namba: 0747 642 122
 
Nguo kali za mitumba grade A, Cream kabisa, za kike na za kiume.

Wanawake.
1. Mashati ya ofisini.
2. Mashati casual.
3. Form 6.
4. Jeans mkataba.
5. Pensi.
7. Flana.
9. Cardet.
10. Suaruali za vitambaa.

Wanawake.
1. Magauni ya sherehe.
2. Madira.

Nicheki #0623123369 wasap nikuunge group au unaweza ukaingia moja kwa moja.

 
Kama zipi?
Natufuta Investor (Partner) ambaye atawekeza Milioni 5 kwenye Kampuni (Inatoa Engineering services). Maswali, terms & conditions za malipo ni makubaliano

Namba: 0747 642 122
 
Habrini za leo.

Iwapo kuna mtu anahitaji printer na photocopy machine mpya na used kutoka Nairobi kwa bei nafuu, unakaribishwa.

Mashine zinazoopatikana ni ni Epson na Canon kwa model zifuatazo

Canon
Ir 2425
Advance i400
Ir 2025
Ir 2024
Ir 2006
Ir 2520

Epson
L805
L850
L382
L3110
L3111
L3150
L3050

Mashin za epson zote ni mpya. Canon zipo mpya na used.

Utaratibu wa malipo:

Utalipia advance ambyo ni 40% ya bei (ambayo itajumuisha usafiri pamoja na ushuru mpakani) kisha baada ya kupokea mzigo utamalizia gharama inayobaki.

Bidhaa zote zina warranty ya mwaka mmoja na bidhaa zetu ziko katikahali nzuri.

Kwa wakazi waliopo kanda ya ziwa utapokea mzigo ndani ya siku 5 tangu ulipofanya malipo. Na walio nje ya kanda ya ziwa utapokea mzigo ndani ya siku 7 za kazi (ukitoa jumamosi na jumapili).

Nyote mnakatibishwa.

Mawasiliano zaidi 0767086446
 
Back
Top Bottom