Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Ktk wote uliotaja hapo wachambuzi wa football ni watatu tuWachambuzi 10 wa mpira Bora kwa sasa, sita taja vituo vyao........
1. George Ambangile.
2. Jemedari said kazumari.
3.Ramadhani MBWADUKE.
4. Nazareth Upete.
5. Abisay Steven.
6. Ibra Kasuga.
8. AMRI KIEMBA.
9. Rashid Seif.
10.Farhan kihamo.
11.mimi.
N:B.
RIP KASHASHA MTAALAM WA PHYSICAL EDUCATION..
George ambagile
Ramadhan mbwaduke
Amri kiemba
Hao ndo watu wanaoweza kuichambua game kiufundi baada ya dk 90.. kuna wachambuzi wa mpira kama wanavyofanya kina nevile, calagher na wengineo hao ni wachambuzi wanaichambua mechi kiufundi kabla ya dk 90 na baada ya 90.
Ambagile,mbwaduke wanaweza kuchambua game kiufundi ila hao wengine uliowaja hapo ni watangazaji tu wa vituo vya radio hawana tofauti na kina baba levo nae ni mtangazaji kama wao tu ila wapo kwenye vipindi tofauti tofauti.