NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Huyu mwamba apewe maua yakeAbisai stevent jr EARADIO..
Eddo kumwembe(living legend)
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba apewe maua yakeAbisai stevent jr EARADIO..
Eddo kumwembe(living legend)
Ngoja na Mimi nisubiri majibuHivi huyu ndiye yule alikuwaga kijana mdogo miaka ya 2000's akawa anacheza mpira nje ya nchi na kuna kipindi fulani alishirikishwaga kwenye tangazo la cement akiwa bado mdogo zilizochapiwa na cement toka kampuni tofauti. akipiga mpira kwenye nyumba mbili tofauti Nyumba moja haikuwa imetengenezwa kwa cement imara baada ya kupiga mpira cement ikabanduka na nyingine ilitengenezwa kwa cement imara ya kampuni iliyompa tangazo baada ya kupiga mpira, cement ilikuwa imara kwenye ukuta wa nyumba.
Huyo namba mbili hakuna kitu aiseeWachambuzi 10 wa mpira Bora kwa sasa, sita taja vituo vyao........
1. George Ambangile.
2. Jemedari said kazumari.
3.Ramadhani MBWADUKE.
4. Nazareth Upete.
5. Abisay Steven.
6. Ibra Kasuga.
8. AMRI KIEMBA.
9. Rashid Seif.
10.Farhan kihamo.
11.mimi.
N:B.
RIP KASHASHA MTAALAM WA PHYSICAL EDUCATION..
Shukurani mkuuu ngoja tuwape sikio.Hakuna kipindi bora cha michezo chenye wachambuzi mahiri kama
U LIVE - UFM RADIO.
Hii ni takataka!Jamedari saidi E-Fm
Hilo halijui chochote! Mimi huwa nasuuzika na kipindi cha michezo cha Clouds FM, huku Shaffi Dauda kule Luambano!Bin kazumari jemedari
Mzee wa jambia oruma
Ongezea na Amri kiemba.Hilo halijui chochote! Mimi huwa nasuuzika na kipindi cha michezo cha Clouds FM, huku Shaffi Dauda kule Luambano!
Huyo aliendaga wapi kitambo nilikuaga namfatilia.George ambangile wasafi f.m
Teacher tigana lukinja saizi cjui yukwap ila alikuwa eatv mara ya mwisho
Ila muongoza kipindi bora cha michezo ni lumbago clouds
Huyu ndo zero kabisa mavi ya kuku mbwiga wa mbwiga.Jamedari saidi E-Fm
Hafai hata kidogo na hajui mpira huyo.Huyu ndo zero kabisa mavi ya kuku mbwiga wa mbwiga.
RAMADHAN MWADUKENimejikuta naanzisha huu Uzi maalumu baada ya kusikiliza kituo Fulani chenye wachambuzi wa mchongo wao ni kuponda timu hata ifanye mazuri gani.
Kiufupi hawajui chochote kuhusu mpira/football.
Wakuu njooni hapa mtaje wachambuzi makini na vituo vyao ili tukawasikilize wanaojua kuchambua mpira na siyo kuchambua wachezaji au timu kwa chuki na uzandiki.
Nawasilisha.
Sawa mkuu ngoja tumsikilizeRAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
Uchambuzi wa Jamaa ni balaa, No blaablaa full of statistics na mbinu timu, makocha nk. Wanazotumia
YouTube Channel: Data Sports Tv
Yeah, kweli kabisa! Amri Kiemba anaujua mpira! Kanaongea taratibu lakini kanashusha nondo za uhakika!