Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

Ktk wote uliotaja hapo wachambuzi wa football ni watatu tu
George ambagile
Ramadhan mbwaduke
Amri kiemba

Hao ndo watu wanaoweza kuichambua game kiufundi baada ya dk 90.. kuna wachambuzi wa mpira kama wanavyofanya kina nevile, calagher na wengineo hao ni wachambuzi wanaichambua mechi kiufundi kabla ya dk 90 na baada ya 90.

Ambagile,mbwaduke wanaweza kuchambua game kiufundi ila hao wengine uliowaja hapo ni watangazaji tu wa vituo vya radio hawana tofauti na kina baba levo nae ni mtangazaji kama wao tu ila wapo kwenye vipindi tofauti tofauti.
 
Labda ongezea Ramadhan Mbwaduke na Godlisten Muro wawe watatu
 
Wachambuzi wote wa UFM,TBC TAIFA na AZZAM TV

Wengine miyeyusho tu utasikia low block, double pivot, half space

Halafu walivyo wapumbavu hawatoi matokeo ila wanaanza uchambuzi

Mtu anaanza tu kuchambua mechi kama vile watu Wana matokeo ya jana duh!!! Very sad.

Kiufupi tasinia ya habari imevamiwa
 
Wachambuzi wengi wanachambua matukio
 
Mimi sio mfuatiliaji sana wa kuwasilikiza hao wachambuzi mbalimbali (kwa kuwa mimi pia huwa naangali mpira na kujichambulia mimi mwenyewe binafsi na kugundua kumbe niko bora kuliko wale wachambuzi rasmi tunawafahamu), lakini kuna jamaa mmoja anaitwa Godlisten Muro nimewahi kumuona Azam Tv mara chache akichambua mpira na mara zote niliweza kumuelewa na kwa hakika ni mchambuzi bora sana.
 
[emoji3578]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…