Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Ramadhani Mbwanduke naobgoza kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kati ya woote huyu ndiye kiranja wao mkuu. Said bin Jemedari bin Kzumari. Mbwaduke anafuatia baada ya huyu mwamba. Anajua vitu vingi saana.
Huwa unamskiliza kweli huyo??Sasa kati ya woote huyu ndiye kiranja wao mkuu. Said bin Jemedari bin Kzumari. Mbwaduke anafuatia baada ya huyu mwamba. Anajua vitu vingi saana.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Huyo Safi Hana ushabiki Wala kiki.Ramadhani Mbwanduke naobgoza kwa sasa
Basi huwa anajifanya kuwadiss sana SimbaMbna Amri ni legend wa Simba.
umenikumbusha mbali sana mkuuHivi huyu ndiye yule alikuwaga kijana mdogo miaka ya 2000's akawa anacheza mpira nje ya nchi na kuna kipindi fulani alishirikishwaga kwenye tangazo la cement akiwa bado mdogo zilizochapiwa na cement toka kampuni tofauti. akipiga mpira kwenye nyumba mbili tofauti Nyumba moja haikuwa imetengenezwa kwa cement imara baada ya kupiga mpira cement ikabanduka na nyingine ilitengenezwa kwa cement imara ya kampuni iliyompa tangazo baada ya kupiga mpira, cement ilikuwa imara kwenye ukuta wa nyumba.
wewe mahaba yako kwa Simba yamepita kiasi ikiguswa tu unaumia sana.Basi huwa anajifanya kuwadiss sana Simba
duh huyo unamuelewa sana mkuu?Sasa kati ya woote huyu ndiye kiranja wao mkuu. Said bin Jemedari bin Kzumari. Mbwaduke anafuatia baada ya huyu mwamba. Anajua vitu vingi saana.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mara ya mwisho nakumbuka alikuwa Sweden.Sawa bro. Dogo yupo wapi sasa hivi?
alihit na lile tangazo kitambo sanaaaaMara ya mwisho nakumbuka alikuwa Sweden.
Moja ya picha zake za utotoni
#Ambokile George.
View attachment 2690309
Makongo Moja hiyo, mtoto wa Idd Kipingu. Alitamba Sana.alihit na lile tangazo kitambo sanaaaa
mara ya mwisho 2019 nilimsikia Friends Of Ranger ya Dar es Salaam ligi daraja la piliSawa bro. Dogo yupo wapi sasa hivi?
sikuwahi kumjua jina enzi za tangazo hiloMakongo Moja hiyo, mtoto wa Idd Kipingu. Alitamba Sana.
Nashukuru bro, dogo alikuwa fundi sana huyu. Sijajua nchi yetu shida nini ila kuna watu wengi sana wanacheza mpira nje. Asante kwa picha yake mkuuMara ya mwisho nakumbuka alikuwa Sweden.
Moja ya picha zake za utotoni
#Ambokile George.
View attachment 2690309
Mashabiki wote tupo hivyo sio mm tuu...wewe mahaba yako kwa Simba yamepita kiasi ikiguswa tu unaumia sana.
Lakini Amri Kiemba hana ushabiki kwenye uchambuzi wake
mimi ni mnyama wa mtaa wa MsimbaziMashabiki wote tupo hivyo sio mm tuu...
Ndo maana na nyie hamuoni Zuri kwa Jemedari hata siku akiwasifia mnaona anaongea kujikosha..
Hewalaamimi ni mnyama wa mtaa wa Msimbazi
Sijawahi kuwa uto na haitakaa itokee hata siku moja
hivi Kramo anacheza nafasi gani?Hewalaa
😂😂😂 Soka la Bongo Huwa hachambui anaogopa. Amri Kiemba, Master T na Derrick Lissu wanajua sanaAmbagile ni mchambuzi mzuri ila sanasana soka la ulaya, maana bongo anawaogopa mashabiki wa Simba na Yanga ndio maana ulaya kajiweka wazi yeye ni Man united ila hapa ameshindwa kutaja yeye ni timu gani, na hata akitaja anaweza taja Tukuyu stars huko , sio simba au Yanga[emoji1]