Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

Hivi huyu ndiye yule alikuwaga kijana mdogo miaka ya 2000's akawa anacheza mpira nje ya nchi na kuna kipindi fulani alishirikishwaga kwenye tangazo la cement akiwa bado mdogo zilizochapiwa na cement toka kampuni tofauti. akipiga mpira kwenye nyumba mbili tofauti Nyumba moja haikuwa imetengenezwa kwa cement imara baada ya kupiga mpira cement ikabanduka na nyingine ilitengenezwa kwa cement imara ya kampuni iliyompa tangazo baada ya kupiga mpira, cement ilikuwa imara kwenye ukuta wa nyumba.
umenikumbusha mbali sana mkuu
 
Sawa bro. Dogo yupo wapi sasa hivi?
Mara ya mwisho nakumbuka alikuwa Sweden.
Moja ya picha zake za utotoni
#Ambokile George.
1689545487012.jpg
 
Ambagile ni mchambuzi mzuri ila sanasana soka la ulaya, maana bongo anawaogopa mashabiki wa Simba na Yanga ndio maana ulaya kajiweka wazi yeye ni Man united ila hapa ameshindwa kutaja yeye ni timu gani, na hata akitaja anaweza taja Tukuyu stars huko , sio simba au Yanga[emoji1]
😂😂😂 Soka la Bongo Huwa hachambui anaogopa. Amri Kiemba, Master T na Derrick Lissu wanajua sana
 
Back
Top Bottom