Uzi maalumu wa kutaniana na mtani wako hapa Jf

Hahahaaa. Ngoja nimwite msukuma.com aje atwambie.

Hivi hawa hawana chembe chembe za wale wa Musoma kweli?
Wasukuma hata mahari zao wanatoa ming'ommbe na ming'ommbe hawana shida hao japo hawataki mwanamke awatawale eti😀

Musoma! Tema mate chini Hajar ile ni namba ingine aisee, tena wote Ke na Me

Mwanamke wa Kikurya kama hajapata kipigo siku unarudi nyumbadi utakuta kafunga virago karudi kwao eti hapendwi!

Yaani hapo rusha kofi unarudishiwa kofi,kama ni usiku mkisha pigana ndio mnaenda kulala sasa.....ndio mapenzi yao hayo😀😀
 
kwa wasukuma umepita mule mule..lol
 
Kuna dada humu jf anatuma post za ajabu watabiri waliwahi kusema eti ukimuingiza mkuyenga break ya kwanza pumbu zinagonga vuzi eti hakuna kizuizi njiani.
 
Wasukuma hata mahari zao wanatoa ming'ommbe na ming'ommbe hawana shida hao japo hawataki mwanamke awatawale eti😀

Musoma! Tema mate chini Hajar ile ni namba ingine aisee, tena wote Ke na Me

Mwanamke wa Kikurya kama hajapata kipigo siku unarudi nyumbadi utakuta kafunga virago karudi kwao eti hapendwi!

Yaani hapo rusha kofi unarudishiwa kofi,kama ni usiku mkisha pigana ndio mnaenda kulala sasa.....ndio mapenzi yao hayo😀😀
Duuuh! Bora hao watani zangu wasukuma kwa kweli.
 
Back
Top Bottom