Uzi maalumu wa kutaniana na mtani wako hapa Jf

Uzi maalumu wa kutaniana na mtani wako hapa Jf

we jamaa bana yaàni unawachana watu ukweli alafu unajificha kwenye kichaka cha matani

Na hapo Kazunguka tu huku na kule kama ' drones ' za BBC ila Mlengwa wake mkubwa katika kuyapiga hayo ' Madongo ' yake ni Mimi na ' dongo ' lake limeniingia Kunakotukuka kabisa.

Mpe Shikamoo kwa niaba yangu tafadhali.
 
Kuna watu nikiwafikilia hapa natamani niwatanie tu

GENTAMYCINE akimaliza kuosha magari pale lumumba anasikilizia story za uongo kwa wazee wa kashata anakuja hapa kutudanganya,

Sky Eclat ashagombana na mme wake sana kisa JF, na anamwambia zima simu mwanga unatuumiza macho, utasikia usihofu baby yaan mtoto wa shangazi ananisumbua ndo maana,

Kichwa Kichafu kabla ya kukoment hapa lazima achafue kichwa kwa zile nanii zetu ndo anapata mzuka

Pascal Mayalla kila akiona gari la STK litokalo dodoma anadhani kaitwa tena anabadiri njia Hahah

Nape Nnauye kila ikifika saa nane usiku anawaza alivyomwingiza jamaa mjengoni alafu akatupiliwa mbalii ,fyekelea mbaliii,

Shunie kila siku anasumbunana na mme wake kisa kulala na track suit ,

GuDume gwa mbegu wamamtambua watoto wa dar , siku moja alienda kigamboni ,kupanda tu ferry wanawake wanaanza kuvua pete na kuzikanyagia chini ,kisa wasionekane kwa gudume kwamba wameolewa ili awape mbegu,

Daudi Mchambuzi huyu nasikia jina amelipata kutokana na kuchambua sana nanii zile mabibo

Maxence Melo kuna nyuzi huwa zinamkuna mpaka anatamani kucoment anaishia ku like tu

venchwa liachie ilo limama huko Singapore njoo ujenge nyumbani au kwakuwa limekupa kazi,

Zero IQ we kweli hata kichwani nywele hizi zina reflect iq,

luambo makiadi achana na wwatoto wa kizungu rudi nyumbani Tanzania,

Masweeter jaman kwakuwa ulikutana na mwenye mkono wa sweeta uk a amua na jina liwe sweeter

mahondaw vipi mmekutana na Smart911 au mnazingua tu kumaliziana bando

Mshana Jr Ana powerbank moja aliachiwa na bibi yake ni hatari,
Yericko Nyerere kila kundi anatangaza kuuza vitabu hata kama ni kundi la mapenzi, utasikia jifunze ujasusi Hahah

Natania tu wenzangu, mtanie mwenzako
Mh
 
Kanungila Karim mbona ile dp yetu umevaa miwani ya fundi welding umeitoa? Au kelele zimezidi toka kwa lucas mobutu.

Padri Mcharo (katibu mwenezi wa wapiga nyeto) umeacha kipiga kampeni za nyeto? An ndo umesusia kama chadema kuhishiriki kwenye chaguzi.

Money Penny, usiache kuja kuniwekea dhamana central.

yna2 sijakusahau, utakuja kuniua na dp yako
 
Hahahaaa. Niziweze wapi Sesten mie na mwili huu?

Nimejivimbisha hapa kwa sababu we upo ujue. 😜😜😜
Hahahaaa, ulinzi tu, umepeta mamii shaka ondoa

Wee watanie na wachokozage watani zako hasa wasukuma, ingawa nasikia msukuma hainui mkono kumpiga mwanamke! au sijui nilidanganywa Hajar 😀
 
Back
Top Bottom