Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Yule alieanzisha ile uzi kuwa "Usije PM wa kama huna hela" ni mdogo wa damu wa mleta mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nini hichii [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule alieanzisha ile uzi kuwa "Usije PM wa kama huna hela" ni mdogo wa damu wa mleta mada
we jamaa bana yaàni unawachana watu ukweli alafu unajificha kwenye kichaka cha matani
Mkuu matani tu sidhani kama ni ndugu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nini hichii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu matani tu sidhani kama ni ndugu....
Pamoja mkuu tuongeze siku za kuishi tu...Nimecheka sana
MhKuna watu nikiwafikilia hapa natamani niwatanie tu
GENTAMYCINE akimaliza kuosha magari pale lumumba anasikilizia story za uongo kwa wazee wa kashata anakuja hapa kutudanganya,
Sky Eclat ashagombana na mme wake sana kisa JF, na anamwambia zima simu mwanga unatuumiza macho, utasikia usihofu baby yaan mtoto wa shangazi ananisumbua ndo maana,
Kichwa Kichafu kabla ya kukoment hapa lazima achafue kichwa kwa zile nanii zetu ndo anapata mzuka
Pascal Mayalla kila akiona gari la STK litokalo dodoma anadhani kaitwa tena anabadiri njia Hahah
Nape Nnauye kila ikifika saa nane usiku anawaza alivyomwingiza jamaa mjengoni alafu akatupiliwa mbalii ,fyekelea mbaliii,
Shunie kila siku anasumbunana na mme wake kisa kulala na track suit ,
GuDume gwa mbegu wamamtambua watoto wa dar , siku moja alienda kigamboni ,kupanda tu ferry wanawake wanaanza kuvua pete na kuzikanyagia chini ,kisa wasionekane kwa gudume kwamba wameolewa ili awape mbegu,
Daudi Mchambuzi huyu nasikia jina amelipata kutokana na kuchambua sana nanii zile mabibo
Maxence Melo kuna nyuzi huwa zinamkuna mpaka anatamani kucoment anaishia ku like tu
venchwa liachie ilo limama huko Singapore njoo ujenge nyumbani au kwakuwa limekupa kazi,
Zero IQ we kweli hata kichwani nywele hizi zina reflect iq,
luambo makiadi achana na wwatoto wa kizungu rudi nyumbani Tanzania,
Masweeter jaman kwakuwa ulikutana na mwenye mkono wa sweeta uk a amua na jina liwe sweeter
mahondaw vipi mmekutana na Smart911 au mnazingua tu kumaliziana bando
Mshana Jr Ana powerbank moja aliachiwa na bibi yake ni hatari,
Yericko Nyerere kila kundi anatangaza kuuza vitabu hata kama ni kundi la mapenzi, utasikia jifunze ujasusi Hahah
Natania tu wenzangu, mtanie mwenzako
Hahahaaa. Niziweze wapi Sesten mie na mwili huu?
Hahahaaa, ulinzi tu, umepeta mamii shaka ondoaHahahaaa. Niziweze wapi Sesten mie na mwili huu?
Nimejivimbisha hapa kwa sababu we upo ujue. 😜😜😜
Sura kama unapiga chafyacute b alivyo na pua kama kiwiko..
Vitako vidogo had ukiinama unakua kama unapiga tanoSura kama unapiga chafya