Hahahhahahaha chizi wewe.Vitako vidogo had ukiinama unakua kama unapiga tano
Mm chizi ajili yakoHahahhahahaha chizi wewe.
Umekufa umeoza sioMm chizi ajili yako
Sioni mwingine zaidi yakoUmekufa umeoza sio
HahahahahaSioni mwingine zaidi yako
Hahahaaa. Ngoja nimwite msukuma.com aje atwambie.Hahahaaa, ulinzi tu, umepeta mamii shaka ondoa
Wee watanie na wachokozage watani zako hasa wasukuma, ingawa nasikia msukuma hainui mkono kumpiga mwanamke! au sijui nilidanganywa Hajar π
Kati ya watu siwezi kutaniana nao ni wafia chama wa Kijani, yaani sijui tu.
Wasukuma hata mahari zao wanatoa ming'ommbe na ming'ommbe hawana shida hao japo hawataki mwanamke awatawale etiπHahahaaa. Ngoja nimwite msukuma.com aje atwambie.
Hivi hawa hawana chembe chembe za wale wa Musoma kweli?
Wasukuma hata mahari zao wanatoa ming'ommbe na ming'ommbe hawana shida hao japo hawataki mwanamke awatawale etiπ
Musoma! Tema mate chini Hajar ile ni namba ingine aisee, tena wote Ke na Me
Mwanamke wa Kikurya kama hajapata kipigo siku unarudi nyumbadi utakuta kafunga virago karudi kwao eti hapendwi!
Yaani hapo rusha kofi unarudishiwa kofi,kama ni usiku mkisha pigana ndio mnaenda kulala sasa.....ndio mapenzi yao hayoππ
Hahahaaaa, na wewe ni wa kulekulee eeh? Wa wapi sasa Mwanza, Shinyanga au Geita?kwa wasukuma umepita mule mule..lol
mm ht urafiki nao siwezi
Duuuh! Bora hao watani zangu wasukuma kwa kweli.Wasukuma hata mahari zao wanatoa ming'ommbe na ming'ommbe hawana shida hao japo hawataki mwanamke awatawale etiπ
Musoma! Tema mate chini Hajar ile ni namba ingine aisee, tena wote Ke na Me
Mwanamke wa Kikurya kama hajapata kipigo siku unarudi nyumbadi utakuta kafunga virago karudi kwao eti hapendwi!
Yaani hapo rusha kofi unarudishiwa kofi,kama ni usiku mkisha pigana ndio mnaenda kulala sasa.....ndio mapenzi yao hayoππ
Umeona eeh? Hivi na Wanyamwezi nao pia ni watani zako Hajar ?Duuuh! Bora hao watani zangu wasukuma kwa kweli.
Anhaa sawa Hajar basi makabila hayo ni watani wa makabila mengi sanaNdio ni watani zangu hao nao Sesten.
Ndo kama huyu jamaa aliyeanzisha Uzi, kidogo akili zilimjia kwenye MV Nyerere.