πππ Mimi ni mzima kabsa mtani, vp shemeji na watoto wanaendeleaje?πNimefurahi kukuona Mtani. Kwa kuwa umekuja hata kukutania nimeghairi. ππ
Mzima lakini?
Hahahaaaaa. Mtani umejua kujikaza lol.πππ Mimi ni mzima kabsa mtani, vp shemeji na watoto wanaendeleaje?π
wifi na watoto bado hawajapatikana mtani, ila wifi yako(mke wa bro ) na watoto wazima wa afya teleHahahaaaaa. Mtani umejua kujikaza lol.
Hawajambo Mtani wazima wa afya. Sijui Wifi naye na Watoto? Hawajambo?
Hahahaaa. Hahahahaaaa. Hahahaaaaaaaa. Duuuh.wifi na watoto bado hawajapatikana mtani, ila wifi yako(mke wa bro ) na watoto wazima wa afya tele
mtani haya mambo siyo ya kukurupukia, wacha nikae single kwanza nifaidi mafao yanguHahahaaa. Hahahahaaaa. Hahahaaaaaaaa. Duuuh.
Mpaka leo Mtani. Haya bana.
Hahahhaha jamaawifi na watoto bado hawajapatikana mtani, ila wifi yako(mke wa bro ) na watoto wazima wa afya tele
Wachaaaaaaa.mtani haya mambo siyo ya kukurupukia, wacha nikae single kwanza nifaidi mafao yangu
hahaha ndo maana naogopa kukurupuka..Wachaaaaaaa.
Angalia tu usijepata koroma Mtani.
Nikutanie???
Ndiyo maana una macho kama kile kiumbe ulichokitaja..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndukiiiiiiiiiiiiiii
Ya "mwaya"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu ni kama signature ya nani vile?
Hahaaaa. Haya bana mtani.hahaha ndo maana naogopa kukurupuka..
Nile kwanza vijicent vyangu kabla havijaanza kuliwa na familia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya "mwaya"
Hahaaaa. Haya bana mtani.
Hahahaaaa. Usijali Jirani Mtani πππUjirani unatosha au tuongezee utani mwenyekiti?
Hahahah hahahaYericko umepatia sanaaa kwenye magroup ya wasap misiba hachangii yeye kutangaza vitabu vyake tu
Hahahaaaa. Usijali Jirani Mtani [emoji23][emoji23][emoji23]