Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
natuma Salam zangu kwa 🤔🤔🤔aaaah narud badaeHuu ni uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya,kwa yeyote nje na ndani ya nchi...
Mimi natuma salamu kwa raisi wangu mpendwa muheshimiwa John Pombe Magufuli,ninamtakia afya njema na aongezewe busara zaidi na weledi,akapate nguvu zaidi na aepushwe na hila zote za shetani.
Mwaka 2020 ukawe mwaka wa Tanzania kuinuliwa.
Karibu utume salamu zako.
Et mdomo ufanye nini karena 😅 😅 😅Mdomo koma 😂 😂 😂 😂 😂
Mimi salamu zangu za mwaka mpya zimuendee CONTROLA Extrovert SweetieLee Saint anne DiasporaUSA
Happy new yearEt mdomo ufanye nini karena 😅 😅 😅
salamu nimezipokea kwa mikono miwili
Tunapoenda kuumaliza huu mwaka Mungu akafungue kamba zote zilizogoma kufunguka miaka iliyopita,na tunapoupokea mwaka 2020 ukawe mwaka wenye Baraka na kufungua njia za mafanikio ktk kila ulichotamani kifanya mwaka 2020.
Nina mengi ya kusema juu yako ila nitafurahi zaidi nikisikia umeenda upokea mwaka Jumba La Dhahabu (kanisani)
Amen and Thank you so much my dear nna mengi sana ya kuandika ila si mzuri sana kwenye maandishi mengi mengi....Et mdomo ufanye nini karena 😅 😅 😅
salamu nimezipokea kwa mikono miwili
Tunapoenda kuumaliza huu mwaka Mungu akafungue kamba zote zilizogoma kufunguka miaka iliyopita,na tunapoupokea mwaka 2020 ukawe mwaka wenye Baraka na kufungua njia za mafanikio ktk kila ulichotamani kifanya mwaka 2020.
Nina mengi ya kusema juu yako ila nitafurahi zaidi nikisikia umeenda upokea mwaka Jumba La Dhahabu (kanisani)
God bless youSalamu zangu za Mwaka Mpya ziwafikie member wote wa JF. Mungu awalinde na kuwapa maisha marefu yenye furaha na tuendelee kuonana humu JF kwa miaka mingi ijayo.
Happy New Year 2020
And youWana jf wote salama zangu ziwafikie huko mlipo.Mungu atupe uzima na afya tele kwa mwaka mwengine.
Thanks
Chura ipo?[emoji41]Mdomo koma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi salamu zangu za mwaka mpya zimuendee CONTROLA Extrovert SweetieLee Saint anne DiasporaUSA
Na members wote wa JF
Amen! Same to you.Thnks your majesty!happy new yr!
Wish all the best!
Church na nduli mbona Karibu mkuu unasali kanisa gani,nakutakia mwaka mpya wenye manufaa kwako na wana Jf wote mungu atusaidie tusonge mbeleAmen and Thank you so much my dear nna mengi sana ya kuandika ila si mzuri sana kwenye maandishi mengi mengi....
Nakutakia heri ya mwaka 2020 ukawe wa baraka tele na mafanikio.
Natamani sana ningekua nyumba ya ibada lakini nahofia sana security church ni mbali kidogo na itanipasa kurudi usiku ambao peke angu kutoka kanisani mpaka nyumbani inanipa shida kidogo....
Thank you for being there for me 2019 Mungu atuwezeshe pia 2020