Uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Huu ni uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya,kwa yeyote nje na ndani ya nchi...

Mimi natuma salamu kwa Rais wangu mpendwa Mheshimiwa John Pombe Magufuli,ninamtakia afya njema na aongezewe busara zaidi na weledi,akapate nguvu zaidi na aepushwe na hila zote za shetani.

Mwaka 2020 ukawe mwaka wa Tanzania kuinuliwa.

Karibu utume salamu zako.
 
Huu ni uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya,kwa yeyote nje na ndani ya nchi...

Mimi natuma salamu kwa raisi wangu mpendwa muheshimiwa John Pombe Magufuli,ninamtakia afya njema na aongezewe busara zaidi na weledi,akapate nguvu zaidi na aepushwe na hila zote za shetani.

Mwaka 2020 ukawe mwaka wa Tanzania kuinuliwa.

Karibu utume salamu zako.
natuma Salam zangu kwa 🤔🤔🤔aaaah narud badae
 
Mdomo koma 😂 😂 😂 😂 😂

Mimi salamu zangu za mwaka mpya zimuendee CONTROLA Extrovert SweetieLee Saint anne DiasporaUSA
Et mdomo ufanye nini karena 😅 😅 😅

salamu nimezipokea kwa mikono miwili

Tunapoenda kuumaliza huu mwaka Mungu akafungue kamba zote zilizogoma kufunguka miaka iliyopita,na tunapoupokea mwaka 2020 ukawe mwaka wenye Baraka na kufungua njia za mafanikio ktk kila ulichotamani kifanya mwaka 2020.

Nina mengi ya kusema juu yako ila nitafurahi zaidi nikisikia umeenda upokea mwaka Jumba La Dhahabu (kanisani)
 
Happy new year
 
Amen and Thank you so much my dear nna mengi sana ya kuandika ila si mzuri sana kwenye maandishi mengi mengi....

Nakutakia heri ya mwaka 2020 ukawe wa baraka tele na mafanikio.

Natamani sana ningekua nyumba ya ibada lakini nahofia sana security church ni mbali kidogo na itanipasa kurudi usiku ambao peke angu kutoka kanisani mpaka nyumbani inanipa shida kidogo....
Thank you for being there for me 2019 Mungu atuwezeshe pia 2020
 
Salamu zangu za mwaka ziwaendee watu wafuatao was kwaza kabisa shunie,sakayo,tumosa, mshana junior, mzigua nawapenda sana mungu awape maisha marefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen and Thank you so much my dear nna mengi sana ya kuandika ila si mzuri sana kwenye maandishi mengi mengi....

Nakutakia heri ya mwaka 2020 ukawe wa baraka tele na mafanikio.

Natamani sana ningekua nyumba ya ibada lakini nahofia sana security church ni mbali kidogo na itanipasa kurudi usiku ambao peke angu kutoka kanisani mpaka nyumbani inanipa shida kidogo....
Thank you for being there for me 2019 Mungu atuwezeshe pia 2020
Church na nduli mbona Karibu mkuu unasali kanisa gani,nakutakia mwaka mpya wenye manufaa kwako na wana Jf wote mungu atusaidie tusonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom