Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine.
Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi zimeanza kuwawinda nyota mbalimbali wa timu nyingine ili kuzidi kujiimarisha.
Uzi huu tuutumie kuweka tetesi mbalimbali za usiajli kwa ajili ya msimu ujao.
Naanza na hii
1. Yanga SC wanakaribia kumsajili Lazarous Kambole ambaye anaondoka Kaizer Chiefs mwishoni mwa mwezi huu.