Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Morrison hana tofauti na Mario Barotell! Wana vipaji vikubwa, halafu utoto mwingi.Daah nje ya bangi jamaa ni baller sana. Tatizo matukio mengi sana ndo yanamfanya aonekane kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morrison hana tofauti na Mario Barotell! Wana vipaji vikubwa, halafu utoto mwingi.Daah nje ya bangi jamaa ni baller sana. Tatizo matukio mengi sana ndo yanamfanya aonekane kawaida.
Ameshasaini mkataba wa awali kwa taarifa zisizo rasmi! Anasubiria tu mkataba wake na simba uishe mwishoni mwa mwezi huu then asaini rasmi.😅😅😅Na awez kuja utopolo
Mwaka jana alivua bukta akabaki na chupi yeye kama yeye. Safari hii atamvu Manara na yeye mwenyewe afu watatembea uchi na Manara ili kuonesha mapenzi yao kwa timu na Mashabiki kwa ujumla.Bernard Morrison ameshasaini mkataba wa awali wa kujiunga na Yanga. Na taarifa zinaonyesha ni chaguo la Prof Nabi!
Mashabiki tusiomkubali huyu mvuta bangi sijui tutazificha wapo sura zetu msimu ujao! I wish abadili maamuzi dakika za mwisho, halafu abakie huko huko kwao.
Hhahhaa hapo kwenye Mo wakikusikia mi simoootimu nzima ya Mikia aka Makolo FC ni mbovu na inafaa itimuliwe yote kwa kukubali kupasuliwa na Feisal na kusababisha mashabiki wake kujazana mahospitalini kutibiwa majeraha ya moyo!
pia wawatimue MOooo, Barabara na Matofali
Na bwalya naye katimkia amazulu
Imekuaje tenaMayele naye ameanza kutikisa kiberiti Yanga...……………….!
Ushauri wa bure wananchinkama mnataka kuingia hatua ya makundi champions leagu tukamnunue yule beki wa wydad....alikochafua sana kwenye final
Ahmed Ally kaongea shombo kuwa hawasajili mchezaji ambae hajafika Robo Fainal CAF,watu wakamuuliza wakina Kibu,Gadiel,Mhilu na wengineo walifika Robo final ipi ya CAF,kakimbia akaunti yake.Farid Mussa anahusishwa na kujiunga na Simba Sports Club. Je Wananchi watakubali kumuachia. Simba atawasaidia kama dili likitiki?
View attachment 2249259