Mbona kama naona anafanana na Mayele au?Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine.
Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi zimeanza kuwawinda nyota mbalimbali wa timu nyingine ili kuzidi kujiimarisha.
Uzi huu tuutumie kuweka tetesi mbalimbali za usiajli kwa ajili ya msimu ujao.
Naanza na hii
1. Yanga SC wanakaribia kumsajili Lazarous Kambole ambaye anaondoka Kaizer Chiefs mwishoni mwa mwezi huu.
kule Mirembe bado kuna vitanda viko wazi baada ya wenzako kupata nafuu na kuruhusiwa kurudi home kusubiri mawingu yajae tena angani walipuke tena!!Yanga inakaribia kumfukuza kazi kocha wake, tetesi zilozopo ni kwamba kocha wa club moja kutoka Saudi Arabia atachukua mikoba yake!
awahi kabla dirisha na milango haijafungwa! Magalasa ya Mikia aka Makolo FCKagere huyooooo Geita Gold FC...โฆโฆโฆโฆโฆโฆโฆโฆ.
๐ ๐ ๐ Na awez kuja utopoloBernard Morrison ameshasaini mkataba wa awali wa kujiunga na Yanga. Na taarifa zinaonyesha ni chaguo la Prof Nabi!
Mashabiki tusiomkubali huyu mvuta bangi sijui tutazificha wapo sura zetu msimu ujao! I wish abadili maamuzi dakika za mwisho, halafu abakie huko huko kwao.
Daah nje ya bangi jamaa ni baller sana. Tatizo matukio mengi sana ndo yanamfanya aonekane kawaida.Bernard Morrison ameshasaini mkataba wa awali wa kujiunga na Yanga. Na taarifa zinaonyesha ni chaguo la Prof Nabi!
Mashabiki tusiomkubali huyu mvuta bangi sijui tutazificha wapo sura zetu msimu ujao! I wish abadili maamuzi dakika za mwisho, halafu abakie huko huko kwao.
kule Mirembe bado kuna vitanda viko wazi baada ya wenzako kupata nafuu na kuruhusiwa kurudi home kusubiri mawingu yajae tena angani walipuke tena!!
Tetesi nilizosikia ni kuwa timu ya Ubelgiji ndo waliipasua Saudi Arabia kwenye ndondo kapu ndo Saudi Arabia FC ya Mbagala wametuma ofa Yanga wanamtaka Profesa Nabi
Hivi kwanini Simba wakipasuliwa na Yangu tu huanza choko choko si mtulie sindano ziwachome vizuri Nabi muacheni tuendelee kuwapasua. Morrison aliwapasua mkamchukua, Nabi kasuka kikosi kimewapasua mnataka aondoke Yanga why Mikia?
timu nzima ya Mikia aka Makolo FC ni mbovu na inafaa itimuliwe yote kwa kukubali kupasuliwa na Feisal na kusababisha mashabiki wake kujazana mahospitalini kutibiwa majeraha ya moyo!Unaambiwa wachezaji hawa wanaweza kuiacha simba msimu ujao
Players who could leave ๐น๐ฟ Simba SC at the end of the season:
๐ฒ๐ผ Banda
๐จ๐ฎ Wawa
๐บ๐ฌ Lwanga
๐ท๐ผ Kagere
๐จ๐ฉ Mugalu
๐น๐ฟ Kibu
๐ฐ๐ช Onyango
๐ฌ๐ญ Morrison (gone already)
Source: Mickyjnr
Kama ni kweli basi ndio wamuangaikie kwanza kwa matibabu ya afya ya akili kwanzia sasakule Mirembe bado kuna vitanda viko wazi baada ya wenzako kupata nafuu na kuruhusiwa kurudi home kusubiri mawingu yajae tena angani walipuke tena!...
Kama ni kweli basi ndio wamuangaikie kwanza kwa matibabu ya afya ya akili kwanzia sasaBernard Morrison ameshasaini mkataba wa awali wa kujiunga na Yanga. Na taarifa zinaonyesha ni chaguo la Prof Nabi!
Mashabiki tusiomkubali huyu mvuta bangi sijui tutazificha wapo sura zetu msimu ujao! I wish abadili maamuzi dakika za mwisho, halafu abakie huko huko kwao.
Morrison atavaa uzi wa njano na kijani msimu ujao aisee! Kama mashabiki tulivyopigwa na kitu kizito baada ya Haji Manara kuhamia Yanga, ndivyo itakavyo tokea kwenye ujio wa Morisson mabange.Kama ni kweli basi ndio wamuangaikie kwanza kwa matibabu ya afya ya akili kwanzia sasa
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app