Kelvin ni JembeMchukue huyo kelvin Nashon halafu utakuja kunishukuru baadae
Huyo ndo kile kizazi cha akina Job, kibwana, Mshery,Kibabage, kabwili........kiungo mkabaji wao alikuwa Kelvin Nashon ile U-17 ya coach Kim Poulsen
Dah! Yanga nayo ni timu kubwa ? Sasa kama Yanga ni timu kubwa , underdog ni zipi?Kumbe Chama bado mko naye! Hongereni. Ila ukubali tu kiwango chake kwa sasa hakitabiriki! Na hasa pale anapocheza na timu kubwa kama Yanga.
Mbeya KwanzaUshabiki raha kweli. Sasa hao wachezaji wataifunga timu ipi magoli hayo?
Nasikia wanachukua kombe la simba yani GEORGE MPOLELambalamba fc bado wanataka kuondoka na mtu katika mitaa ya Kariakoo.
Si Bora ingekua George Mpole, Kuna balaaa linakuja. Namuomba ndugu Yusuph Bareksa asifanye alilo kusudia atasababisha baadhi ya mashabiki wakose usingizi Kwa siku mbili tatu.Nasikia wanachukua kombe la simba yani GEORGE MPOLE
Chama huyu huyu au mwingine?6 Akpan
7 Sakho
8 Chama
9 Manzoki
10 Phiri
11 Okrah
Kuna watu watapigwa 10+
Sasa Chama utamlinganisha na yule Wakubanza?Chama huyu huyu au mwingine?
Kwa hiyo makolo watakuwa wamesikia ushauri wangu wa Bure😂😂😂View attachment 2283408
TETESI: LUIS ANARUDI SIMBA 🔴
.
Hadi Kufikia leo jioni tayari 90% ya dili la Luis Miquissone 🇲🇿 kutoka Al Ahly 🇪🇬 kurejea Simba 🇹🇿 linaelekea kutimia.
.
💬: “Miquissone anaipenda Simba, ameomba arejee kwenye kikosi, maana amekumbuka lile ‘vaibu’ na upendo ambao alikuwa anapewa na mashabiki wake, pia familia yake inataka aishi Tanzania. Wakati wanaongea sana, sisi tutafanya kwa vitendo, nadhani muda utafika mashabiki wetu wataanza kupata raha.” Kimesema chanzo changu makini ndani ya Simba.
Hata wewe unaweza kuufanya ukawa na jipya.Huu uzi umekosa mvuto, hauna jipya
HATIMAYE STEPHANE AZIZ KI NI MWANANCHI RASMIAZIZ KI IS NOW GREEN AND YELLOW
STAY TUNED!
Mwenye uzi hajulikani alipo.Kumbe uzi ulikufa kifo cha mende!!