Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

Mchukue huyo kelvin Nashon halafu utakuja kunishukuru baadae

Huyo ndo kile kizazi cha akina Job, kibwana, Mshery,Kibabage, kabwili........kiungo mkabaji wao alikuwa Kelvin Nashon ile U-17 ya coach Kim Poulsen
Kelvin ni Jembe
 
Kumbe Chama bado mko naye! Hongereni. Ila ukubali tu kiwango chake kwa sasa hakitabiriki! Na hasa pale anapocheza na timu kubwa kama Yanga.
Dah! Yanga nayo ni timu kubwa ? Sasa kama Yanga ni timu kubwa , underdog ni zipi?

Yanga na Ruvu shooting hawana tofauti mkuu ukweli mchungu ! Ruvu ana point 0.00 caf na Yanga ana 0.5. Sasa hapo tofauti iko wapi? Afadhali ungesema hata Namungo mwenye point 2 huko caf ungeeleweka kuliko kuitaja Yanga kuwa ni timu kubwa.
 
View attachment 2283408

TETESI: LUIS ANARUDI SIMBA 🔴
.
Hadi Kufikia leo jioni tayari 90% ya dili la Luis Miquissone 🇲🇿 kutoka Al Ahly 🇪🇬 kurejea Simba 🇹🇿 linaelekea kutimia.
.
💬: “Miquissone anaipenda Simba, ameomba arejee kwenye kikosi, maana amekumbuka lile ‘vaibu’ na upendo ambao alikuwa anapewa na mashabiki wake, pia familia yake inataka aishi Tanzania. Wakati wanaongea sana, sisi tutafanya kwa vitendo, nadhani muda utafika mashabiki wetu wataanza kupata raha.” Kimesema chanzo changu makini ndani ya Simba.
Kwa hiyo makolo watakuwa wamesikia ushauri wangu wa Bure😂😂😂
 
1657518308498.png
 
Huu uzi umekosa mvuto, hauna jipya
 
Back
Top Bottom