Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Moto ni moto🙄Habari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa
Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto
Haya mie natanguliza jina la aurora
Comments jina jipya unalolifahamu
Fabian Vitus✍️Habari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa
Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto
Haya mie natanguliza jina la aurora
Comments jina jipya unalolifahamu
Ohooh ndio zile dalili za jana zimeanza kufanya kazi?😅Linasound good,, ni la like au la kiume?
Muone 🤣🤣🤣🙌Ohooh ndio zile dalili za jana zimeanza kufanya kazi?😅
Ningekutajia hata herufi mbili za jina langu halisi ili umpatie maana atakuwa kijana mzuri kabisa mama kijacho🤣Muone 🤣🤣🤣🙌
Gwakukaja sasa, huwa hatusahau asili yetu sisi😀Tumpare-means tumsifu🤣
Ndo unitajie sasa😉Ningekutajia hata herufi mbili za jina langu halisi ili umpatie maana atakuwa kijana mzuri kabisa mama kijacho🤣
Ndo unaacha nafasi yote hiyo jamani😃😃😃🤣
(Ia..) malizia umpatie kabebii
Asante ngoja nione kama nitapata jina la mwanangu siku nikipata mwanamke bwanaHabari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa
Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto
Haya mie natanguliza jina la aurora
Comments jina jipya unalolifahamu
Hapo nimekupataSi nichanganye watu tu
Malizia herufi moja hapo akili mwako lakini
😂😂 mshamba_hachekwiMelchizedek - Mfalme wa Haki.
Matthias - zawadi ya Mungu.
Jephtah- Mungu hufungua.
Jeremiah- Mungu huinua.
Isaiah- Wokovu watoka Kwa Mungu.
Emmanuel - pamoja nasi ni Mungu.
Ishmael- Mungu husikia.
Elijah- Bwana ni Mungu.
Daniel- Mungu ni Hakimu wangu.
Deborah- nyuki.
Delilah- mtamu.
Elisha- Mungu ni wokovu.
Elizabeth - Mungu ameniweka huru.
Felix- mwenye furaha.
Ezra- msaada.
Gabriel - Shujaa wa Mungu.
Hannah- neema.
Hezekiah- Mungu amenitia nguvu.
Jehoshaphat - Mungu ni Hakimu.
Habbakuk- mfariji.
Enoch- aliyetakaswa.
Eleazer.- Mungu ni msaada wangu.
Josiah- Na Mungu atupe hitaji letu.
Jotham-Mungu ni mkamilifu.
Micah(la kike)- nani kama Mungu?
Michael- nani kama Mungu?
Naomi- mpendwa wangu.
Nathan- Mungu ametoa.
Nehemiah- Mungu amenifariji.
Onesimus- Faida.
Paulo- mdogo.
Peter- mwamba.