Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

Habari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa

Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto

Haya mie natanguliza jina la aurora

Comments jina jipya unalolifahamu
Asante ngoja nione kama nitapata jina la mwanangu siku nikipata mwanamke bwana
 
Melchizedek - Mfalme wa Haki.
Matthias - zawadi ya Mungu.
Jephtah- Mungu hufungua.
Jeremiah- Mungu huinua.
Isaiah- Wokovu watoka Kwa Mungu.
Emmanuel - pamoja nasi ni Mungu.
Ishmael- Mungu husikia.
Elijah- Bwana ni Mungu.
Daniel- Mungu ni Hakimu wangu.
Deborah- nyuki.
Delilah- mtamu.
Elisha- Mungu ni wokovu.
Elizabeth - Mungu ameniweka huru.
Felix- mwenye furaha.
Ezra- msaada.
Gabriel - Shujaa wa Mungu.
Hannah- neema.
Hezekiah- Mungu amenitia nguvu.
Jehoshaphat - Mungu ni Hakimu.
Habbakuk- mfariji.
Enoch- aliyetakaswa.
Eleazer.- Mungu ni msaada wangu.
Josiah- Na Mungu atupe hitaji letu.
Jotham-Mungu ni mkamilifu.
Micah(la kike)- nani kama Mungu?
Michael- nani kama Mungu?
Naomi- mpendwa wangu.
Nathan- Mungu ametoa.
Nehemiah- Mungu amenifariji.
Onesimus- Faida.
Paulo- mdogo.
Peter- mwamba.
😂😂 mshamba_hachekwi
Wenye mijina yenu….
 
Back
Top Bottom