Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

KAMA KUNA MWANAKIGOMA YUPO NJE YA KIGOMA KWA MAANA YA TABORA MJINI, SINGIDA MJINI, DODOMA MJINI, MOROGORO MJINI KIBAHA MJINI, DARESLAM, NA HATA LINDI NA BADO HAJAPATA JEZI AWASILIANE NA MIMI JEZI ATAIPATA ALIPO TIMU ITAKAPOKUWA INASAFIRI KUELEKEA LINDI KUPITIA MAENEO HAYO
 
Mashujaa ni mbeya city iliochangamka soon vibe la wana kigoma litaisha baada ya mashujaa kuanza kudondosha point moja baada ya nyingine
 
Back
Top Bottom