Pre GE2025 Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ni Mchagga kumzidi God bless Lema? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ivi kwa akili kisoda tu...kushindwa kuleta ushahidi ndio kusema kua Jambo lipo/halipo?!
 
HYA NDIOOO MAMBOOOO LISSU ANAYALAANI

SUZAN LYIMOOOOO BADOOO YUPOOO AISEE KAZI MNAYOOO

SIHSANGAII KUONA WAKINA NDESA FAMILIA WAKIRUDI
 
Hawa Bavicha ndio wanapiga kura za mwenyekiti wa chama au kuna uwakilishi tu wa wajumbe kadhaa?
Hii ndiyo hali halisi ilivyo, Mbowe na vibaraka wake walishachokwa siku nyingi.
Wataleta pesa tutakula na kura hawatopata.Tunataka chama kirudi kwa wanachama na kiaminiwe tena na watz waliokatishwa tamaa na siasa za kijasiliamali za mbowe
 
Wewe ni "tired" na "retired".
Mwambie Mbowe wako kuwa naye ni tired na ni Retired !
 
Hivi walioko huko mtaani si ndo hao hao walioko kwenye mitandao ya kijamii?
Si kweli. Kijijini kwangu hata bendera ya CHADEMA rangi yake hawaijui. Uchaguzi wa serikali ya mitaa tarafa mzima hakukuwa na mgombea wa CHADEMA. Endeleeni kujifariji kuwa Chama kinanguvu mitandaoni Hadi mitaani.
 
Kwenye ulimwengu wa mitandao ya kijami uchaguzi wa chadema umeshika hatamu pengine kuliko uchaguzi mkuu, ila huku mitaani hata chadema haijulikani achilia mbali uchaguzi wao
Mtaa unaoishi wewe ni wa mateja... Maana mateja huwa ndiyo hawana walijualo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…