Pre GE2025 Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama unaweza gombea na Lissu ili ujue kuwa huna lolote.
 
Si kweli. Kijijini kwangu hata bendera ya CHADEMA rangi yake hawaijui. Uchaguzi wa serikali ya mitaa tarafa mzima hakukuwa na mgombea wa CHADEMA. Endeleeni kujifariji kuwa Chama kinanguvu mitandaoni Hadi mitaani.
Kwani hao wa kijijini kwenu, ndo hao hao wapo kwenye mitandao ya kijamii? Maana naona unachanganya madesa, wala hujajibu swali langu.
 
Hivi Kuna uchaguzi wa chadema umewahi kufatiliwa kama huu mwaka huu!?
Anyway Samia Oye! Oyeeeeeee!!!
 
Kumbe Berson huyu huyu ambaye Taaluma ni Mwalimu ghafla tu amekua Engineer.......... Tanzania ina mambo sana
si kama Lema tu,
kutoka kua mnyanganyi wa malori, hadi kua nabii 🐒
 
JamiiForums Moderator Paw Cookie .. wakuu nimewatag hapa ili ifike mahali mtusaidie sisi waanzisha uzi ambao ni kama tunakurupuka. Mtufundishe tofauti ya LIVE na habari ya kawaida. Hii hapa sio live, hii ni habari ya kawaida. Ni sawa na wale wanaokimbilia kuanzisha nyuzi za michezo na kuita live wakati hakuna update yoyote zaidi ya kuambulia final results. Live ni angalau kila baada ya dakika mbili tatu tunaona progress. The same applies here. Haya mkutano wa BAWACHA unaendelea muda huu lakini UPDATE hakuna, sasa nini maana ya live?? Afterwards mwenye uzi atakuja na kuandika results. Let's put this clear.


Subjected to correction! Merci..🙏🙏👋
 
Update na Bawacha.
 
Wanawake wa Baraza la wanawake chadema, wamepuuza wito wa kampeni za kibaraka makamu mwenekiti wa chadema taifa na mgombea wake wa uenyekiti BAWACHA Selestine Simba, mwenye sifa ya mdomo wa uropokaji na makele kama yake.
Badala yake amechaguliwa Sharifa Suleiman kutoka Zanzibar.

Huu ni ujumbe wa wazi kwamba hakuna namna kibaraka anaweza kushinda nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa. Na hana sababu hata moja kuwapa kazi akina heche na pambalu kuandaa fujo na vurugu wakati wa uchaguzi Jan.21.2025, ili kuharibu zoezi zima la uchaguzi huo.

una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Viva Comrada Stephen Wasira, M/Kiti mpya wa CCM Taifa.
 
Adui wa maendeleo ya taifa

Asokua na uzalendo kwa nchi yake

Kibaraka na msaliti anatafuta nafasi ya kutumika na wale mabwana mabeberu

Bwana Tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…