Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu; Huo ndo ukweli lakini linakuja tatizo la mazoea yetu ya kupuuzia kwamba miti mingi mathalani ile ya Asili iliyoota nyumbani au karibu-karibu na makazi yetu hatuoni kwamba inaweza kuwa ni yenye faida za kiafya na wala hatujishughulishi kutafuta kutaka kuzijua faida zake kumbe mti-dawa sio lazima mtu aende porini ndani mbali huko inaweza ikawa ipo hapo pembeni mwa nyumba yako na tunaipuuzia na kuidharau eti mbona ipo siku zote haina cha kipekee.Miti na mimea ni antbiotic au antibody dhidi ya uchawi na nguvu za giza
Sio waganga wakienyeji,sema tu ktk kiswahili sisi ndo hatujatofautisha hawa watu wa hii fani.Pengine hatujapata neno la kisw linalo wafit watu wa hii fani.Uzi wa waganga wa kienyeji
Ahaaa umedadavua vema ila ukisikia mganga mkuu wa mkoa unapata picha gani na huyo ni mtumishi wa ummaSio waganga wakienyeji,sema tu ktk kiswahili sisi ndo hatujatofautisha hawa watu wa hii fani.Pengine hatujapata neno la kisw linalo wafit watu wa hii fani.
Mi napendekeza hivi:
kwakua Daktari wa dawa za viwandani tulisha tohoa kutoka Doctor(eng) kuwa Daktari(kisw),basi neno TABIBU linalo tumika kumtambua Doctor ktk kisw litumike kumtambua Herbalist (daktari anaetibu kwa mimea),badala ya kusema ''uzi wa waganga wa kienyeji'' useme ''uzi wa matabibu'' nasi moja kwa moja tuelewe umewamaanisha Herbalists.
HALAFU,yale maneno Mganga(wa tiba asili,wa jadi,wa kienyeji) yoote yabaki yaki mtambulisha mganga wa ramli na ndumba.
Pia wale waganga wa vitabu kwakua huwa wanatumia nyota na kuchungulia chungulia aura za watu basi ktk kiswahili tuwaite MAMAJUSI.Yaani:
Doctor-.Daktari
Herbalist-Tabibu
Witchdoctor-Mganga,Mganga wa kienyeji n.K
Astrologer-Mamajusi
BAKITA popote mlipo Hiiiii Hola Ciao
Ua la nyota ya jerusalem,star of jerusalem(jina la kisayansi kuna mdau kaliweka comment za juu huko fanya kusearch),ng'oa lote kuanzia mzizi,shina,majan,na maua,osha chemsha.Tumia kikombe 1*3 kwa siku 14.Kila siku chemsha mpya au weka kweny friji uwe unapasha.Nmefurahi sana kuuona uzi huu,
Mimi ni mgonjwa wa kisukari, ugonjwa wangu umenikuta ukubwani na ugonjwa huu huja na kupotea, yaani niliumwa ghafla kwenda hospital nkaambiwa nna kisukari nkaanza tiba, baada ya miezi mitatu ukapona kabisa,kwasasa ni miaka mitatu sijawahi ona dalili za ugonjwa huu, maisha yakaendelea kawaida.
Hila ndani ya wiki hii nimeanza kuona tena dalili za ugonjwa huu, nikapima RBG nna 14 mimi si mnene sana, nna kg 78 urefu ft 6.8
Msaada wa dawa za asili juu ya kuponyesha sukari.
Maana hata 30yrs sijafika.
Picha ninayopata ni 'Daktari mkuu wa mkoa'Ahaaa umedadavua vema ila ukisikia mganga mkuu wa mkoa unapata picha gani na huyo ni mtumishi wa umma
Daktari kuitwa mganga😳😳Picha ninayopata ni 'Daktari mkuu wa mkoa'
kwan huyo mganga mkuu wa mkoa uliemsema wewe si ni Daktari wa madawa ya Hospitali yatokayo kiwandani sema cheo tu ni anawasimamia/anawawakilisha madaktari wengne wote ktk mkoa wapo chini yake??Anawawakilisha wengne kwenye ofisi za mkoa.Au umemaanisha yupi,nieleweshe alichosomea.Neno Tabibu na Mganga yote ktk kisw tunatumia tukimaanisha Doctor.Sas kwakua tayar tulshatohoa neno Doctor kuwa Daktari,ndo nikatoa mawazo yangu ya kubadili matumiz ya Mganga na Tabibu.Kheh!Daktari kuitwa mganga😳😳
Botanical name for star of Jerusalem or periwinkle ni Vinca roseaUa la nyota ya jerusalem,star of jerusalem(jina la kisayansi kuna mdau kaliweka comment za juu huko fanya kusearch),ng'oa lote kuanzia mzizi,shina,majan,na maua,osha chemsha.Tumia kikombe 1*3 kwa siku 14.Kila siku chemsha mpya au weka kweny friji uwe unapasha.
NB:kama wewe ni Me tumia lenye maua meupe.Kama wew ni Ke tumia lenye maua ya pink.
Kivipi nduguNaongezea tu pia majani ya mnanasi yale machanga ya juujuu husaidia kufunga hedhi,inayopitiliza.
Nadhani huo ushauri wako ndio wa msingi na unaondoa confussio.kwan huyo mganga mkuu wa mkoa uliemsema wewe si ni Daktari wa madawa ya Hospitali yatokayo kiwandani sema cheo tu ni anawasimamia/anawawakilisha madaktari wengne wote ktk mkoa wapo chini yake??Anawawakilisha wengne kwenye ofisi za mkoa.Au umemaanisha yupi,nieleweshe alichosomea.Neno Tabibu na Mganga yote ktk kisw tunatumia tukimaanisha Doctor.Sas kwakua tayar tulshatohoa neno Doctor kuwa Daktari,ndo nikatoa mawazo yangu ya kubadili matumiz ya Mganga na Tabibu.Kheh!
Shukrani sana mkuuUa la nyota ya jerusalem,star of jerusalem(jina la kisayansi kuna mdau kaliweka comment za juu huko fanya kusearch),ng'oa lote kuanzia mzizi,shina,majan,na maua,osha chemsha.Tumia kikombe 1*3 kwa siku 14.Kila siku chemsha mpya au weka kweny friji uwe unapasha.
NB:kama wewe ni Me tumia lenye maua meupe.Kama wew ni Ke tumia lenye maua ya pink.
Kuna code ulisema utaweka sijaziona mkuuAkapime homa ya ini sio kila kitu ni uchawi..... homa ya ini ina dalili hizo pia mkuu
Ukiona unasumbuliwa na wapumbavu mfano kuota ndoto mbaya, watoto kuweweseka usiku. Weka punje za vitunguu swaumu pande nne chini ya godoro.Utakuwa salama kabisa dhidi ya magonjwa ya kiroho.
Vyovyote vile uwezavyo ukitaka pande au punjeNi pande ama punje nne?