Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mkuu mashika nguo?
 
Nimeshavipata mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-141740.png
    106.9 KB · Views: 126
Tupeni mbinu za kuchimba madini mashimon tunaambiwa wazee zaman walikuwa wanayapata kwa miti shamba
 
kaka mm nina asthma! naweza tumia dawa gani?
Kama una tatizo la Asthma, dawa mujarabu ya tatizo hilo ni mmea huitwao mziwaziwa. Uki-Google (Asthma plant) utaona picha yake. Chemsha majani yale na kunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni kwa siku 3-5 hilo tatizo litakuwa limeisha.
 
Wakuu naombeni mnijuze dawa ya kupona kabisa peptic ulcers.
Tumia mziwaziwa (Asthma plant) kwa kuchemsha majani yake. Tumia kunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni for 3 consecutive days....kisha leta mrejesho hapa.
 
Ndugu zangu tatizo la uoni hafifu linazidi kuwa kubwa siku baada ya siku. Mwenye kujua dawa ya asili ya kupunguza au kusaidia anaweza weka hapa tukafaidika natanguliza shukran.
 
Angalizo kwa wale wenye Pressure ya kushuka!! Kitunguu swaumu hususha blood pressure, hivyo ni kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…