Na Mimi kwakuongezea kuhusu dawa ya jino linalouma.
Tafuta karafuu punje 10, kipande kidogo chá tangawizi mbichi na punje 5 za kitunguu swaumu(kitunguu ni bora vile vidogovidogo ndio vizur zaid na sio yale makubwa.
Matayarisho.
Menya kipande chá tangawizi na uoshe vizur.
Chambua punje za vitunguu swaumu.
Vyote kwa pamoja karafuu+kitunguu swaum+tangawizi vitangwe mpka vitwangike sana.
Matumizi.
Weka dawa iliyotwangwa sehem yenye jino linalouma lizungushie dawa kwenye pande zote na juu ya jino hilo.
Baada ya kupaka utapatamaumivu makali sana ya muasho ndani ya dakika 10 mpka 20 halafu muwasho utapotea.
Hapa itabidi ustahamili sana tena sana×10.
Fanya zoezi hili ndani ya siku tatu mpka tano.
Note:
Sehemu yenye jino linalouma patafanya ukungu mweupe kama kuchubuka hivi usihofu hali hiyo itapotea baada ya kumaliza matumizi ya dawa.
Muda mzuri ni usiku wakati wakutakakulala ili dawa ikae usiku kucha asubuh utatoa na kufanya shughuli zako.
Jamani uweze kustahamili inawasha sana kutokana na kitunguu swaumu tu.
Nisameheni kwa uandishi mbovu.
Uliza kama hujafahamu.
Sent from my SM-N9150 using
JamiiForums mobile app