Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #761
Natambua hilo mkuu,hats kama sio mnene sana apunguze kabisa uzito kwanza. Vyakula vyenye omega 3, mfano parachichi,au matunda yasiyo na acidity,na maji mengi.ni kwamba magoti hayana UTE kabisa anatembea kwa shida sana mpaka anasikia maumivu makali